Laki 3 watu wawili! Mweee!Yes ukiandika tuu kwa map bara beach unafika, hakuna kiingilio ila ikifika jioni sehemu zile nzuri nzuri za kukaa zinakuwa full booked, kwenye gharama sio kiivo bhana ukiwa na laki tatu watu wawili inatosha kabisa chakula na pombee.. mie ni mpenzi wa cocktail sasa hapo cocktail zao ni mbaya sana so huwa napenda kuchill hapo mchana kwasasabu kuna sehemu ya watoto kucheza hiyo ina kiingilio efu 10, then jioni nitahamia cape town fish market kuimalizia siku na cocktail zao.
Hapo sii nimegegeda mbususu 6 za buku 50 jamani.
Anyways starehe gharama wacha siku nijipeleke mwenyewe. Moshakaki na sparkling water zinatosha