Kama Mimi kabisa 💯💯💯naipita heart choice kama sioni
Starehe yangu imekuwa evening walk
Kawaida sana
Umemaliza kila kitu hapa Mkuu.
Na wengi wetu tumechelewa sana kufahamu upande huo wa maisha.
Vitu vyote ulivyoelezea katika comment hii nimepitia na nimejilaumu sana kuchelewa kuanza kuishi kisa elimu, kazi ama kwa kupenda mwenyewe.
Pole Kwa kuchelewa kupitia hiyo life anayosema muanzisha thread ambaye kwangu mimi nimemsoma Kama,, barobaro flani .
mimi maisha hayo niliyafanya 2000 hadi early 2010s.
Nilizunguka viwanja karibia vyote dsm tukachoka tukawa tunaenda bagamoyo.
Nipo udsm nimejiunga kama private Msure wangu ananisomesha yeye yupo mkoani Dodoma niliunganisha sikutaka kusubiri scholership.
Nilipokuwa Kwenye registrations nikaona kuna scholarship imetangazwa sharti uwe na admission letter nikaomba hiyo scholarship nikapata .
Hela za msure wangu ada na za kujikimu hizo zikawa hela zangu scholarship ndio wakawa wanalipa ada na kunipa hela nyingine za kujikimu
Msure wangu alinikabidhi nisimamie vihiace vyake 4 .(kila siku nilikuwa namuwekea bank hesabu Zake) Pamoja na Toyota hilux 2.4 double cabin hiyo alinipa kwaajili ya kutembelea na nyumba ya kuishi nilikuwa sikai hostel .
Dsm nilitembea viwanja karibia vyote watu tulikiwa tunaenda kunywa bia sheraton tunangoa wahudumu wa,, sheraton, New Africa Casino beba sana wahudumu wa casino acheni, kwenda kula bata Hunter's bagamoyo hiyo fanya sana sex beach usiku na ndani ya maji
Nimemaliza tu chuo 2006 nikipata ajira mwanza mjini kula sana maisha Villa Park sijui malaika resort, mwanza Hotel.
Nimekuja kutulia 2015.
Sijutii sana hilo life ila nashukuru sana sikupata ngoma .
Kwa hiyo hayo maisha nimepitia nimeachana nayo kwa sasa Nikitaka kula leisure napenda kwenda ufukweni sehemu tulivu kula upepo nikiwa na la Aziz wangu.
Kwa hiyo mfahamu huku,, kuna wakubwa wenu tumepitia huko mnapotaka kupita sio kuzuri kama mnavyofikiria ni Mungu tu ametuokoa nilishapinduka na pick up langu tunatoka bagamoyo kula bata wacheni tu