Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Ukaona maneno yasiwe mang'ana ukatoka balu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1. Mango Garden Mwananyamala
2. Traventine Magomeni
3. Quality Centre- Pugu Road
 
New chox
Odeon
Drive inn
Empress
Empire
Avalon
Cameo/Jamhuri
Kwa kweli hizi kumbi siku wahi kuingia hata moja, zaidi ya kusoma, ukurasa wa matangazo gazeti la mfanyaka, maana ukiondoa drive inn, zingine zilikua huko katikati ya jiji, na hali uchumi enzi hizo nikua sijiwezi sana.
Nilipenda zaidi mziki, kwa kumbi za karibu, kama Vatican hotel palikua MK beets, 92 hotel pale bandi nyingi zilikua zinapiga ila kila juma pili Washirika Tanzania stars, ukumbi mwingine Ufi Club, jirani na kiwanda cha maziwa yetu pendwa kipindi kile.
 
Hivi champion bado ipo? Mitaa ya mombasa na kuna ingine ilikuwa inaitwa Uefa kama sijakosea jina kama unaelekea kitunda
 
New chox
Odeon
Drive inn
Empress
Empire
Avalon
Cameo/Jamhuri
Kwa kweli hizi kumbi siku wahi kuingia hata moja, zaidi ya kusoma, ukurasa wa matangazo gazeti la mfanyaka, maana ukiondoa drive inn, zingine zilikua huko katikati ya jiji, na hali uchumi enzi hizo nikua sijiwezi sana.
Nilipenda zaidi mziki, kwa kumbi za karibu, kama Vatican hotel palikua MK beets, 92 hotel pale bandi nyingi zilikua zinapiga ila kila juma pili Washirika Tanzania stars, ukumbi mwingine Ufi Club, jirani na kiwanda cha maziwa yetu pendwa kipindi kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…