Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikutaka hata kujua ni upande Gani coz hata hao wa upande wa kike siwakubali abadani. Nilishtuka Sana kiukweli. Tatizo sio Ile bia tatizo kukonyezwa alafu Kila nikiangalia pembeni sioni mtu zaidi yangu ikimaanisha Mimi ndio nimekonyezwa.
Ukaona maneno yasiwe mang'ana ukatoka balu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City
7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya.
8. Meeda Night Club, Sinza Mori.
9. Club Billicanas, Jamhuri Street,City Centre.
1. Mango Garden Mwananyamala
2. Traventine Magomeni
3. Quality Centre- Pugu Road
 
New chox
Odeon
Drive inn
Empress
Empire
Avalon
Cameo/Jamhuri
Kwa kweli hizi kumbi siku wahi kuingia hata moja, zaidi ya kusoma, ukurasa wa matangazo gazeti la mfanyaka, maana ukiondoa drive inn, zingine zilikua huko katikati ya jiji, na hali uchumi enzi hizo nikua sijiwezi sana.
Nilipenda zaidi mziki, kwa kumbi za karibu, kama Vatican hotel palikua MK beets, 92 hotel pale bandi nyingi zilikua zinapiga ila kila juma pili Washirika Tanzania stars, ukumbi mwingine Ufi Club, jirani na kiwanda cha maziwa yetu pendwa kipindi kile.
 
Back
Top Bottom