BB_DANGOTE
JF-Expert Member
- Sep 25, 2023
- 388
- 561
Labda WakristoHabari
Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea,
Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John,
Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
Dini ndio zimetuletea hizi propaganda Waislam pia kabla ya hizi dini Afrika hakukua na kina abdallah.Labda Wakristo
Mwaka Jana nilienda Kijijini Kwetu nikakuta na Wenyewe wameanza kurithi baadhi ya tamaduni za Watu wa mjini ambazo Watu wa mjini wanapewa na wazungu,Niko na rafiki yangu hapa tunakumbushana majina ya asili ya makabila ya watanzania yanayopotea kwa kasi ya ajabu miaka hii hatuyasikii sana.
Hayana hata historia ya maana zaidi ya hadithi za kichawi chawi tuYanatusaidia nini hayo majina ya kienyeji??
Ndo uite mwanao Junior?Hayana hata historia ya maana zaidi ya hadithi za kichawi chawi tu
Hapa umezingua, kwanga jina liwe na ubunifu? Kwani jina la mzungu lina ubunifu gani zaidi ya mazoea tu?Nani anapenda majina ya kwetu ya hovyo hovyo , ambayo hayana ubunifu wowote zaidi ya kuwaza uchawi , pesa za majini , chuma ulete, maombi ya kukanyaga mafuta 24hrs?
Kwani Majina ya Kizungu yanakusidia Nini wewe Muafrika Mweusi.Yanatusaidia nini hayo majina ya kienyeji??
Hicho kifaa unacho tumia kutype hapa JF umegundua wewe mtu mweusi wa hapo Mpitimbi?Kwani Majina ya Kizungu yanakusidia Nini wewe Muafrika Mweusi.
Ujijibu Hilo ndio jibu la swali lako
Mjomba , anaye kutawala ndio utaitwa kwa jina lake bila hata kujielewa , kwani haujui bado tupo kwenye utumwa wa kifikra mkuu?Hapa umezingua, kwanga jina liwe na ubunifu? Kwani jina la mzungu lina ubunifu gani zaidi ya mazoea tu?
Historia za Mazungu zililenga kutuonesha sisi ni dhaifu katika Kila jambo na Wenyewe ndio Bora,Hayana hata historia ya maana zaidi ya hadithi za kichawi chawi tu
Yani mpaka ukaonyeshwa kuwa ni dhaifu na ukakubali kuna namna ni dhaifu kweliHistoria za Mazungu zililenga kutuonesha sisi ni dhaifu katika Kila jambo na Wenyewe ndio Bora,
Umesha wai fikilia origin ya wazungu ulikuwaje au unadhani ipo Kama unavo simuliwa
Identity Yako ndio value Yako Kama tukipoteza identity tunapoteza na umaana wetuHayana hata historia ya maana zaidi ya hadithi za kichawi chawi tu