KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
How would you know the standards before/ without shooting your shot?Usitafute mwanamke masikini wa mali na akili.
Kuwa na standards.
Vinginevyo, haya ni matatizo ya kujitakia.
How would you know the standards before/ without shooting your shot?
Ila hizi mada mbona zimeshika kasi sana siku hizi?
Shida sio kwetu shida ni kwao watajikuta wanapoteza mtu mwenye malengo kisa kuendekeza njaa ya pesaLakini mbona ni rahisi sana kukabiliana na hiyo mizinga.
Ukishaona hivyo we poteza tu namba zake, kwisha habari.
Itβs not rocket science.
Kweli.Nafikiri siku hizi kudanga imekuwa fashion, ile aibu ya kuomba pesa, kwa wengi, imetoweka.
Wakati una shoot your shot unamsoma mtu, unamsikilizia falsafa zake zikoje.
Kwa mfano, kama wewe stories zako ni za stocks na investment, real estate na bonds, halafu mwanamke anakuletea stories za Kajala na Shishi Baby, na wewe unataka mtu wa kujenga naye business empire, ni wazi hamtaendana.
Sasa ukilazimisha kuwa naye, wakati tangu mwanzo kakuonesha upande wake, wewe ukang'ang'ania, hapo kosa ni lako.
Ukiona hamuendani, unambwaga.
Wanawake mbona wako wengi sana tu?
Sasa tatizo vijana wanaona kama ligi, kila mwanamke lazima umpate, hata kama hamuendani.
Mimi nilivyokuwa natafuta actively bado, nilikuwa nafuatilia wanawake, baadhi naona hatuendani, nawamwaga, inakuwa wao ndio wananifukuzia mimi, na hawanipati.
Ukitaka kula kila kitu, utakula mpaka sumu.
Mimi nimewachuja wengi sana hao raundi ya kwanza tu unaona huyu ataniletea shombo tu, yani unajuta hata kwa nini kapata namba yangu.Kweli.
Kama mtu una discernment, si vigumu kumbaini mtu ni wa aina gani kupitia maongezi tu ya kawaida.
But that would be their loss.Shida sio kwetu shida ni kwao watajikuta wanapoteza mtu mwenye malengo kisa kuendekeza njaa ya pesa
Well saidLakini mbona ni rahisi sana kukabiliana na hiyo mizinga.
Ukishaona hivyo we poteza tu namba zake, kwisha habari.
Itβs not rocket science.
Well said misterNafikiri siku hizi kudanga imekuwa fashion, ile aibu ya kuomba pesa, kwa wengi, imetoweka.
Wakati una shoot your shot unamsoma mtu, unamsikilizia falsafa zake zikoje.
Unapofanya interview kuomba kazi na meneja anayekufanyia interview nawe unamu interview kuona kama hii kazi itakufaa.
Kwa mfano, kama wewe stories zako ni za stocks na investment, real estate na bonds, halafu mwanamke anakuletea stories za Kajala na Shishi Baby, na unaona huyu hata utashi wa kufundishwa hana, na wewe unataka mtu wa kujenga naye business empire, ni wazi hamtaendana.
Sasa ukilazimisha kuwa naye, wakati tangu mwanzo kakuonesha upande wake, wewe ukang'ang'ania, hapo kosa ni lako.
Ukiona hamuendani, unambwaga.
Wanawake mbona wako wengi sana tu?
Sasa tatizo vijana wanaona kama ligi, kila mwanamke lazima umpate, hata kama hamuendani.
Mimi nilivyokuwa natafuta actively bado, nilikuwa nafuatilia wanawake, baadhi naona hatuendani, nawamwaga, inakuwa wao ndio wananifukuzia mimi, na hawanipati.
Ukitaka kula kila kitu, utakula mpaka sumu.
Hiyo hoja ya "watakosa wanaume wazuri" kwa kiasi kikubwa hapa ni passive aggressive reverse psychology tu ya wanaume wanaojifanya wana huruma sana.But that would be their loss.
Na ikiwa hivyo, si ajabu utakuwa umeepuka mengi huko mbeleni.
Mtu kukuonyesha rangi zake mapema ni jambo zuri.