Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hivi kumbe umbea ni entertainment wewe zee wewe?Jamani sio kwamba tukipiga story za kina kajala na wema hatuwezi kuongelea business au kufanya hizo business. Ni entertainment tu ambayo wengine tumechagua kama nyie mnavyozungumzia mpira.