Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Nafikiri siku hizi kudanga imekuwa fashion, ile aibu ya kuomba pesa, kwa wengi, imetoweka.

Wakati una shoot your shot unamsoma mtu, unamsikilizia falsafa zake zikoje.

Unapofanya interview kuomba kazi na meneja anayekufanyia interview nawe unamu interview kuona kama hii kazi itakufaa.

Kwa mfano, kama wewe stories zako ni za stocks na investment, real estate na bonds, halafu mwanamke anakuletea stories za Kajala na Shishi Baby, na unaona huyu hata utashi wa kufundishwa hana, na wewe unataka mtu wa kujenga naye business empire, ni wazi hamtaendana.

Sasa ukilazimisha kuwa naye, wakati tangu mwanzo kakuonesha upande wake, wewe ukang'ang'ania, hapo kosa ni lako.

Ukiona hamuendani, unambwaga.

Wanawake mbona wako wengi sana tu?

Sasa tatizo vijana wanaona kama ligi, kila mwanamke lazima umpate, hata kama hamuendani.

Mimi nilivyokuwa natafuta actively bado, nilikuwa nafuatilia wanawake, baadhi naona hatuendani, nawamwaga, inakuwa wao ndio wananifukuzia mimi, na hawanipati.

Ukitaka kula kila kitu, utakula mpaka sumu.
Noted [emoji3578]
 
Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/ mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa.

Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko OYSTERBAY inatakiwa laki 7 tu.

Jamani mizinga inauma, hata ukiombwa 10,000 tu.

Mtasugua sana bench hadi muolewe.
Anakuwa hakupendi
Mwanamke akimpenda mwanaume ht kuomba Hela unawaza
 
Hiyo hoja ya "watakosa wanaume wazuri" kwa kiasi kikubwa hapa ni passive aggressive reverse psychology tu ya wanaume wanaojifanya wana huruma sana.

Wanawake wajinga wakikosa wanaume wazuri wewe mwanamme inakuuma nini? Si wamekosa kwa ujinga wao?

Hao wanaosema hivyo wengi wao ni wanaume wenye upwiru tu wanataka wanawake wajirahisishe kwao, katika mfumo unaolazimisha uwe na hela ili kuwa na mwanamke.

This is not an entirely altruistic argument.

Ni kama hoja ya Waislamu kutaka wanaume waoe wake wengi ili wawasaidie wanawake.

It is a thinly disguised self serving passive aggressive reverse psychology trick.
😂🙏🤝🤝
 
Weka na [emoji441] mic mkuu wakusikie vizuri,


Mbaya sana halafu hawajuagi kitu hela hamna(anajua unamnyima) " yaani umwambie sina hela haelewi lakini unajiuliza anashangaa mimi sina mbona yeye hana hafikirii hilo?"
Mkuu au hafikirii mbona kaka zake hawana pesa au Baba yake.
 
Hahaha et mama mdogo ana fibroids 😂😂😂 aisee mm sitoi hela hio an,
Mama mdogo ana siblings wake, ana mume/ mpenz wake,, ana ndugu zake kibao, siingilii kesi mm
 
Back
Top Bottom