Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wengine huku ndiyo kwanza saa kumi na mbili jioni Jumapili.Kumbe wadau wa usiku wa manane, tuko wengi 🤒🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine huku ndiyo kwanza saa kumi na mbili jioni Jumapili.Kumbe wadau wa usiku wa manane, tuko wengi 🤒🙄
Ohh so mbaya, mi usiku kwangu ni kama mchana.Wengine huku ndiyo kwanza saa kumi na mbili jioni Jumapili.
Watu wamechoshwaHow would you know the standards before/ without shooting your shot?
Ila hizi mada mbona zimeshika kasi sana siku hizi?
Makapuku ni wepi?Mtaaangaika sana makapuku...
Sasa kama mwenyewe unajiita TAJIRI MKUU WA MATAJIRI ulitegemea nini mkuuMwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/ mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa.
Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko OYSTERBAY inatakiwa laki 7 tu.
Jamani mizinga inauma, hata ukiombwa 10,000 tu.
Mtasugua sana bench hadi muolewe.
Kweli kabisaKweli.
Kama mtu una discernment, si vigumu kumbaini mtu ni wa aina gani kupitia maongezi tu ya kawaida.
Kuna mrembo mmoja hapa jf alisema kila mbususu ina price tag, akaenda mbali zaidi na kusema kuwa mwanamke mbaye anasema haiuzwi wala sio bure huyo muogope kama al shabab.....nimeshahau tuu username yake yule mremboAcha wasugue bench maana akili hawana maana saiv wanaangalia pesa na mwanaume anakupa hela akishakuweka tu anaona bora aachane nae maana ni mpenda pesa
Omba omba ndio mnahangaika,ndio mana mnaliwa tigoMtaaangaika sana makapuku...
Nawaambiaga kila siku haya mambo. Wanawake ni makahaba wanachotofautina ni kuna ambao wapo directly na wengine indirectly. Tatizo binadamu wanapenda kusikia yanayowafurahisha tuKuna mrembo mmoja hapa jf alisema kila mbususu ina price tag, akaenda mbali zaidi na kusema kuwa mwanamke mbaye anasema haiuzwi wala sio bure huyo muogope kama al shabab.....nimeshahau tuu username yake yule mrembo
Ujumbe mzuri sana.Usitafute mwanamke masikini wa mali na akili.
Kuwa na standards.
Vinginevyo, haya ni matatizo ya kujitakia.
Kuoa wake wengi waliona mbali mke mmoja humuwezi bila competition.Hiyo hoja ya "watakosa wanaume wazuri" kwa kiasi kikubwa hapa ni passive aggressive reverse psychology tu ya wanaume wanaojifanya wana huruma sana.
Wanawake wajinga wakikosa wanaume wazuri wewe mwanamme inakuuma nini? Si wamekosa kwa ujinga wao?
Hao wanaosema hivyo wengi wao ni wanaume wenye upwiru tu wanataka wanawake wajirahisishe kwao, katika mfumo unaolazimisha uwe na hela ili kuwa na mwanamke.
This is not an entirely altruistic argument.
Ni kama hoja ya Waislamu kutaka wanaume waoe wake wengi ili wawasaidie wanawake.
It is a thinly disguised self serving passive aggressive reverse psychology trick.
Nakutabiria GPA ya 3.8Wewe mpotezee tu hayo mambo ya kuolewa atajua mwenyewe. Unadhani ni wote wanataka kuolewa? Wengine wapo kazini...
Hao wenye mali ndio wanataka mpka million 3...Bora uswazi vocha ukimpa ya buku 5 safi...Usitafute mwanamke masikini wa mali na akili.
Kuwa na standards.
Vinginevyo, haya ni matatizo ya kujitakia.
Uoute wewe ndo engineer wa matajiri 😃🤣🤒Jamani Hadi tajiri mkuu wa matajiri analalamika uwiiii nimelia sanaaaaa
Jamani sio kwamba tukipiga story za kina kajala na wema hatuwezi kuongelea business au kufanya hizo business. Ni entertainment tu ambayo wengine tumechagua kama nyie mnavyozungumzia mpira.Nafikiri siku hizi kudanga imekuwa fashion, ile aibu ya kuomba pesa, kwa wengi, imetoweka.
Wakati una shoot your shot unamsoma mtu, unamsikilizia falsafa zake zikoje.
Unapofanya interview kuomba kazi na meneja anayekufanyia interview nawe unamu interview kuona kama hii kazi itakufaa.
Kwa mfano, kama wewe stories zako ni za stocks na investment, real estate na bonds, halafu mwanamke anakuletea stories za Kajala na Shishi Baby, na unaona huyu hata utashi wa kufundishwa hana, na wewe unataka mtu wa kujenga naye business empire, ni wazi hamtaendana.
Sasa ukilazimisha kuwa naye, wakati tangu mwanzo kakuonesha upande wake, wewe ukang'ang'ania, hapo kosa ni lako.
Ukiona hamuendani, unambwaga.
Wanawake mbona wako wengi sana tu?
Sasa tatizo vijana wanaona kama ligi, kila mwanamke lazima umpate, hata kama hamuendani.
Mimi nilivyokuwa natafuta actively bado, nilikuwa nafuatilia wanawake, baadhi naona hatuendani, nawamwaga, inakuwa wao ndio wananifukuzia mimi, na hawanipati.
Ukitaka kula kila kitu, utakula mpaka sumu.
Ila tajiri mwenzangu ananiangusha sana, tajiri ukiombwa laki Saba unatuma 7 na nusu na ya kutolea...😁😁😁Uoute wewe ndo engineer wa matajiri 😃🤣🤒
KUna watu umewazidi akili!Wewe mpotezee tu hayo mambo ya kuolewa atajua mwenyewe. Unadhani ni wote wanataka kuolewa? Wengine wapo kazini...