Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Nawaambiaga kila siku haya mambo. Wanawake ni makahaba wanachotofautina ni kuna ambao wapo directly na wengine indirectly. Tatizo binadamu wanapenda kusikia yanayowafurahisha tu
Mzeya nina bodaboda hapa njoo nikuoe upige kazi maana unanifurahisha na nondo zako
 
Usitafute mwanamke masikini wa mali na akili.

Kuwa na standards.

Vinginevyo, haya ni matatizo ya kujitakia.
Labda asiwe maskini wa akili, inawezekana. Lakini asiwe maskini wa mali na hali wewe ni maskini, hapo mtihani.
 
Back
Top Bottom