KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa.
Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu.
Jamani mizinga inauma, hata ukiombwa 10,000 tu!
Mtasugua sana bench hadi muolewe.