Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Wee jamaa u must be bating for the wrong team
 
Ewaah naungana na ww.....yaani utajiri au maarifa sio guarantee kwamba ndoa au mwanamke atakuwa supa

Inshu ni kumkabidhi Mungu njia akuonyeshe hapa ni sahihi na ukikaaa mtatoka hatua Moja kwenda nyingine
 
Ha haaa umeongea kama mama yangu,anasemaga hii tabia ya wadada kuomba mihela mikubwamikubwa ni sababu wameharibiwa na wapigaji wauza unga maana Hela zao haziumi...
Wauza unga, wapigaji, A.k.a yahoo boys, hii bongo asilimia ngapi ya wanaume ni wauza unga wenye hela, na wadada kausha damu ni asilimia ngapi, obviously wadada kausha damu ni wengi mno kuliko wauza unga, mbona hesabu hazi-tally Joannah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…