Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Sasa kama mwenyewe unajiita TAJIRI MKUU WA MATAJIRI ulitegemea nini mkuu
 
Acha wasugue bench maana akili hawana maana saiv wanaangalia pesa na mwanaume anakupa hela akishakuweka tu anaona bora aachane nae maana ni mpenda pesa
Kuna mrembo mmoja hapa jf alisema kila mbususu ina price tag, akaenda mbali zaidi na kusema kuwa mwanamke mbaye anasema haiuzwi wala sio bure huyo muogope kama al shabab.....nimeshahau tuu username yake yule mrembo
 
Nawaambiaga kila siku haya mambo. Wanawake ni makahaba wanachotofautina ni kuna ambao wapo directly na wengine indirectly. Tatizo binadamu wanapenda kusikia yanayowafurahisha tu
 
Kuoa wake wengi waliona mbali mke mmoja humuwezi bila competition.
Jiulize kwann ndoa za Kikristo ndio zinazosumbua zaidi kuliko za waislamu
 
Jamani sio kwamba tukipiga story za kina kajala na wema hatuwezi kuongelea business au kufanya hizo business. Ni entertainment tu ambayo wengine tumechagua kama nyie mnavyozungumzia mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…