Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 544
- 396
I like the approach! Upinzani siyo uadui and they should not treat themselves like one. Pengine mabalozi walimsema.Kwa unyenyekevu huku akimwita 'Mheshimiwa Rais Magufuli' na siyo tu kumwita casually Magufuli alivyozoea kumwita
Tumemnyoosha eti alikuwa anasema atatuingiza barabarani as if sisi ni watoto wake!Lissu kachezea za uso Hana hamu na watz , kweli wananchi ni wajumbe waliochangamka , wanamwambia tupo pamoja kwenye sanduku wakamchinja na bado kwenye maandamano wakamkick,-out , mwamba akaona aamshe mamtoni....
Ni uamuzi pia. Aida anafukuzwa lini sasa?Hawaendi bungeni fullstop.
Ni uamuzi pia. Aida anafukuzwa lini sasa?
Watanzania hawajampuuzi Lissu bali watanzania ni watu waliojikatia tamaa sababu ya vitisho na Ubabe wa Jiwe na CCM yake.Kumbuka Tanzania kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa ni Moja Kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha!Lissu ameshaelewa kuwa Watanzania
asante, nimeiona na kusikiliza.Ingia you tube, type DTV Africa
Ulitaka aingie msituni?
Mungu wabariki Wazungu uko huku!? Mambo vp!?