digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Hizi nyimbo mtaziimba sana hadi kiama ya mwiliKabla ya uchaguzi mlikuwa mnasema tutakimbia hapa jukwaani, uchaguzi umeisha tuko tumejaa tele na hatuna hofu yoyote. Uchaguzi tumeuona, na ushindi wa umwagaji damu na wizi wa kura tumeuona, na hakuna yoyote kashtuka maana tumezidi kuamini kuwa ccm haina tena uwezo wa kushindana kwa njia ya kura. Sasa ni kipi kitatufanya tubadili majina, wakati ccm haina uwezo wa kutushinda kwa kura?
Kwani unakonda boss kwa hizi nyimbo?Hizi nyimbo mtaziimba sana hadi kiama ya mwili
Huyu lazima apingwe maana hadi kaburi lake nalo limkatae siku ya kifo chakeUbelgiji nako ameshtukiwa. .......kibarakaView attachment 1626512
Umeonaaa eeehHuyu lazima apingwe maana hadi kaburi lake nalo limkatae siku ya kifo chake
Dawa chungu lakini ndio tiba🤣🤣🤣🤣.Anaona aibu alivyoisambaratisha CHADEMA kwa kipindi kifupi. Hata hajui nini kimetokea.
You said it all!!Kama wenyewe wanakimbia kwenda huko''makwao''walitaka nani aingie mitaani kisa yeye awe raisi, Lissu na kiburi chake atakuwa raisi wa mke na familia yake,mwingine kakimbia madeni na kujifanya mkimbizi. Tumeshawajua nyie vibeberu uchwara nia ni kuipaka matope nchi yetu kwa faida za akina Amsterdam
Tahadhari, jamani tusiwe na mihemko kwenye hizi habari tunazosikia kutoka bbc. Nyingine huwa ni za kizushi na hazina uhalisia kabisaa.Hiyo hapo ripoti.Usipende kubishabisha tu:
Tanzania na Burundi miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani kwa mujibu wa UN 2018 - BBC News Swahili
Tanzania, Burundi na Rwanda zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani katika orodha ya kila mwaka ya Umoja wa Mataifa kuhusu viwango vya furaha duniani.www.bbc.com
You said it well. Huyu anafikiri kila kitu kinacholetwa na BBC ni cha maana. Report anayofikiri ni ya UN ni ile iliyandikwa na taasisi binafsi ya Gallup world poll na kuiita World Happiness Report 2019. Ukisoma report yenyewe vigezo vilivyotumika ni levels za technology, governance kwa criteria zao mfano government measures, migration, levels za ICT etc. Sijui ni kwa namna gani unaweza kubeba bango kuwa vigezo hivyo ndivyo vipimo cha furaha kwa watanzania. BBC inaitangaza taarifa hii kwa sababu kampuni yao ya chai ya Unilever ni mmoja wa sponsor mkubwa wa hiyo report. Hivyo ni suala la maslahi ya Uingezeza .Tahadhari, jamani tusiwe na mihemko kwenye hizi habari tunazosikia kutoka bbc. Nyingine huwa ni za kizushi na hazina uhalisia kabisaa.
Natamani waafrika muelewe kuwa sehemu kubwa ya bara la Africa, pamoja na umaskini wetu, tuna furaha sana kuliko watu wa ulaya au marekani.
Nchi za Africa zisizokubaliana na masharti ya muingereza na mmarekani, hutafutiwa muarobaini kwa kupakwa mavi kupitia media ili kuonyesha uso wa dunia kuwa nchi hizo zina wakati mgumu.
Ndugu yangu nakushauri uwe unasoma vitu wewe. Usifikiri kila kitu kinacholetwa na BBC ni cha maana. Report unayofikiri ni ya UN ni ile iliyandikwa na taasisi binafsi ya Gallup world poll na kuiita World Happiness Report 2019. Ukisoma report yenyewe vigezo vilivyotumika ni levels za technology, governance kwa criteria zao mfano government measures, migration, levels za ICT etc. Sijui ni kwa namna gani unaweza kubeba bango kuwa vigezo hivyo ndivyo vipimo cha furaha kwa watanzania. BBC inaitangaza taarifa hii kwa sababu kampuni yao ya chai ya Unilever ni mmoja wa sponsor mkubwa wa hiyo report. Hivyo ni suala la maslahi ya Uingezeza .Hiyo hapo ripoti.Usipende kubishabisha tu:
Tanzania na Burundi miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani kwa mujibu wa UN 2018 - BBC News Swahili
Tanzania, Burundi na Rwanda zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani katika orodha ya kila mwaka ya Umoja wa Mataifa kuhusu viwango vya furaha duniani.www.bbc.com
Sio ripoti ya BBC bali ni ripoti ya Umoja wa Mataifa.Swali kwako: Watanzania wanafuraha kwa huu utawala uliopo?Tahadhari, jamani tusiwe na mihemko kwenye hizi habari tunazosikia kutoka bbc. Nyingine huwa ni za kizushi na hazina uhalisia kabisaa.
Natamani waafrika muelewe kuwa sehemu kubwa ya bara la Africa, pamoja na umaskini wetu, tuna furaha sana kuliko watu wa ulaya au marekani.
Nchi za Africa zisizokubaliana na masharti ya muingereza na mmarekani, hutafutiwa muarobaini kwa kupakwa mavi kupitia media ili kuonyesha uso wa dunia kuwa nchi hizo zina wakati mgumu.