VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

very well said.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama hata mwezi haujaisha tangu kufanyika kwa uchaguzi ambapo tuliambiwa huko chako kuna mtu kajijengea airport yake na mama yake, ameua watu wa kwao na kuwatumbukiza majini, ni dikiteta, ni mshamba, hajui kuandika hata sentensi moja ya kiingereza iliyo sahihi, elimu yake ina mashaka, amejitajirisha kwa makumi ya maelfu ya eka ya aridhi, ameiba kura, anamtafuta Lisu amuue, ni muuaji wa genocide, and blah blah blah. Then eti leo anatwambia eti yuko tayari kukaa naye mezani kuzungumzia maridhiano! So, nadhani huyu mtu aanze kukaa kwanza mezani na Amsterdam wamwandikie JPM barua ndefu ya kumwomba msamaha kwa kumharibia jina lake mwenyewe na Tanzania kama taifa.
 
Si ndo apo..mfano uwanja wa Chato ni moja ya strategic area kabisa...ndege zinatua kama vile tupo Durban
 
Lissu ajipange upya.kama anataka siku mmoja kuchukuwa ofisi ya uraisi wa nchi hii.
Kosa lake kubwa ni kumdharau,kumtukana,kumkandia, na kumwona Raisi wa Jamhuri ya Tanzania Magufuli kama kidudu mtu.
Nae Raisi Magufuli japo hatoi hotuba na maneno ya kejeli lakini ana nguvu ya umma iko upande wake.
Hata pale Lissu alipotangazia wananchi waingie barabarani walimpuuzia kabisa.
Kitendo cha Lissu kuwakandia na kuwasemea mbovu nchi majirani zetu ni kujibebesha mizigo mizito isio na tija,na kujiongezea maadui bila sababu.
Lakini Lissu anasahau kuwa taasisi ikiamua kutengeneza majungu na fitina ndani ya Chadema watamkana mchana kweupe.
 
Nikiangalia kwambaali namuona bwana Lissu kama analainika flani hivi,na nikizidi kutupa jicho mbali zaidi namuona ndani ya serikali ya JPM akiwa mtumishi wa umma uko mbeleni.
chini ya jua akuna linaloshindikana.
akuna mkate mgumu mbele ya chai.
akuna mwanasiasa mgumu apa bongo wote ni laini tu.
 
Siyo kwa huyo, aiseee! Kuna wanasiasa na wanasuasa. Huyu Mr Mzungu anasuasua na na amepinda hasa kuliko maelezo, na wala hata halitakii mema taifa zuri la Tanzania. Sidhani hata huko aliko wanampenda japo chembe. Lengo lao wamtumie, wakimchoka ama wakishindwa kutimiza azma zao, basi wamteme na kumtimua. Kamwe tusijaribu hata kwa wazo tu kijiingiza kwenye mtego wa kitoto na hatari kiasi hicho. Hatupaswi hata kuukubali ushauri wake mmoja. The guy is an ultimate definition of a real, unpretending traitor to be found anywhere, anytime!
 
Asahau habari za uongozi wowote Tanzania. Haipendi nchi yetu, wala hata hawapendi Watanzania. Juzijuzi tu hapa alikuwa amepania yawepo mauaji ya ndugu zetu kwa maelfu na uchaguzi kuvurugika. Ndiyo maana alipokataliwa na wananchi kwenye kura na maandamano, ameondoka kwa aibu na fedheha ambayo kamwe hatokaa aisahau maishani mwake. Huyu jamaa hafurahii hata kidogo kuona nchi yetu ikisonga mbele kimaendeleo, na raia wakiishi kwa amani na usalama. Anafanya kazi kwa maslahi ya ukoloni-mamboleo, mabepari na mashirika na makapuni ya kinyonyaji ambayo kimsingi ndiyo chanzo na sababu kuu ya umaskini endelevu Afrika!
 
Hiyo kawaida ni lugha ya adui aliyeshindwa. Hana hoja tena. Hana umma tena. Kila mti wa tegemeo kwake umemteleza na amebwagwa matopeni. Sasa anajaribu tena kutafuta namna ya kupanda kupitia migongo ya washindi. Nonsense! President Magufuli should just focus on delivering his strategic plans & promises, and leave this sly pretender alone!
 
Rasilimali zetu wakizisomba kwenda kwao free of charge, lazima tu "wataturank" namba moja kwa furaha ulimwenguni. Hao jamaa uzuri wetu kwao unategemea jinsi tunavyoridhika au kufumbia macho dhuluma zao kwetu. JPM should never listen to such unpromising, empty noises! We clearly have our own course to undertake, as a nation.
 
You said it very well
 
Akakimbia kuokoa maisha yake? Japo ndipo ninapoona kuna baadhi yetu sisi hovyo sana,mtu analianzisha likinuka anakimbia Ughaibuni na kuwaacha walalahoi wakisota magereza,ningelimuona wa maana angepambana humuhumu mpaka mwisho
Halafu Gwajima akitumia mifano ya mbwa kubweka wanapiga kelele.
 
Well articulated
 
You took the word!👍💯
 
kila tone la dhulma litalipwa hata na wajukuu wa wadhulumati
 
Mapambano gani mbona watu wanaendelea na ajira zao, wakulima mashambani, watumishi maofisini, mama na baba lishe na machinga bila kusahau wawekezaji wanaendelea na shughuli zao kama kawa tu?
Ajira zipi mkuu.
 
nani alishindwa? Ndizo akili zenu mbovu za mavi. Unaiba kura za upinzani kwa mabegi yenye ticked ballot papers, unajisifu umeshinda! shame on you!
Hayo masanduku yako wap wakuu, mliowakamata wapo wapi wenye hayo masanduku ili twende mahakamani , hata kama sio kisutu pelekeni huo ushahidi huko ICC..... Sometyme naona kama nyie ni wataabishaji wa Taifa , JPM ana mapungufu shazi ila somtyme ni far better kuliko hlo genge la wahuni , mnaloose focus mapema Sana , ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…