Hakuna kampuni ya madini itakuja kufanya utafiti bila kuwa na uhakika wa kuyapata hayo madini kwa zaidi ya 90%. Hizi kampuni MNC za madini wanavyofanya kazi zao ni kama vile mtu anayeingia kwenye usahili wa kazi na kimemo kikiwa kimeshatangulia, interview inakuwa formality tu.Hivyo makapuni ya South Korea yakikubali kuja, yatalazimika kwanza kuwekeza kwenye utafiti, shughuli ambayo ina more than 90% possibility ya kupoteza hela yako.
Ni aibu kubwa sana, inasikitisha sana.Kanchi kamoja kadogo kanaita nchi 30 then kinagawa mikopo ya mabillioni ya dollars. Africa tunafeli pakubwa Sana.
Ss ni matajiri
Unauliza kazi ya hao TISS kwamba hujui kazi yao ni nini hasa? Eboo wewe nae vipi.Jamani hata kama mikataba hii ina 10% mbona hiyo mihela ni mingi mno?
Ifike mahali tuseme hapana. Kazi ya TISS ni nini haswa?
Wataanzishaje ilhali hawajui hata thamani ya huo utajiri wa hayo madini ni kiasi gani!Hivi nchi kama Tanzania haiwezi kuanzisha kampuni ili iwe inachimba madini na kuyauza huko ulaya, japani na kwingineko?
Imagine family mnakopa pesa mjenge nyumbani, anatokea member mmoja anaipiga hela ila deni linabaki kwa wanafamilia wote. Na nyumba (miradi) haija kamilika.Mikataba ya nchi sio rahisi kuivunja kihivyo hasa ikiwa sio taifa lenye nguvu kubwa, mnaweza kugeuzwa mfano wa Zimbabwe.
Hahahahaha.. akaenao vzr wampe michongoClassmates zako hao lakini
😄
Ova
Wewe sio mpuuzi? Hata wewe ni mpuuzi mkubwa.Na mpaka sasa kitu pekee alichobakiza mama enu ni kuwauza tu nyie watanganyika kwa wajomba zake waarabu hili muende mkatumikishwe kwenye mashamba ya tende huko mashariki ya mbali wapuuzi nyie.
Acha utani basi mkuu.uchimbaji madini ni sehemu ya ile phd,
umesahau phd ya india ndio hii Adan kapewa berth moja pale bandarini?
Ongezeko la freight charges is directly proportional to inflation rate baaas.Hahaha wacha warudi tuone watakuwa na ngonjera gani kwa watanzania. Na hili lazima tuliulizie maana tuliambiwa hazina imejaa, alipoingia mama tukaambiwa hakuna kitu hazina, wakaanza kodi zisizoeleweka ...
Akili kubwaa!!!!?????Akili kubwa tu wanapata hizo.
Mimi siwezi kuwa mpuuzi hata siku moja kama nyie mitanganyika ambao kazi yenu ni kumsifia tu eti anaupiga mwingi wakati analiangamiza taifa tena kwenye level ambayo ni unrepairable.Wewe sio mpuuzi? Hata wewe ni mpuuzi mkubwa.
Hata Musukuma anayo, JK mwenye GPA ya 2 anayo pia😃😃Akili kubwa tu wanapata hizo.
Usimfananishe baba wa taifa na vitu vya kipumbavu mkuu.Hivi na Nyerere naye aliwahi kuhongwa shahada ngapi katika utawala wake wa miaka 24?
Maza akiongoza kwa miaka 10 atajijazia mashahada asiyoyatolea jasho dadeki
Mimi siwezi kuwa mpuuzi
Mkuu mbona jazba jaba zima!?😂😂Mimi siwezi kuwa mpuuzi hata siku moja kama nyie mitanganyika ambao kazi yenu ni kumsifia tu eti anaupiga mwingi wakati analiangamiza taifa tena kwenye level ambayo ni unrepairable.
Simple TU wanashikiriana na tiss kuiba😂Jamani hata kama mikataba hii ina 10% mbona hiyo mihela ni mingi mno?
Ifike mahali tuseme hapana. Kazi ya TISS ni nini haswa?