Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakuna kampuni ya madini itakuja kufanya utafiti bila kuwa na uhakika wa kuyapata hayo madini kwa zaidi ya 90%. Hizi kampuni MNC za madini wanavyofanya kazi zao ni kama vile mtu anayeingia kwenye usahili wa kazi na kimemo kikiwa kimeshatangulia, interview inakuwa formality tu.Hivyo makapuni ya South Korea yakikubali kuja, yatalazimika kwanza kuwekeza kwenye utafiti, shughuli ambayo ina more than 90% possibility ya kupoteza hela yako.