VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Hivyo makapuni ya South Korea yakikubali kuja, yatalazimika kwanza kuwekeza kwenye utafiti, shughuli ambayo ina more than 90% possibility ya kupoteza hela yako.
Hakuna kampuni ya madini itakuja kufanya utafiti bila kuwa na uhakika wa kuyapata hayo madini kwa zaidi ya 90%. Hizi kampuni MNC za madini wanavyofanya kazi zao ni kama vile mtu anayeingia kwenye usahili wa kazi na kimemo kikiwa kimeshatangulia, interview inakuwa formality tu.
 
Jamani hata kama mikataba hii ina 10% mbona hiyo mihela ni mingi mno?
Ifike mahali tuseme hapana. Kazi ya TISS ni nini haswa?
Unauliza kazi ya hao TISS kwamba hujui kazi yao ni nini hasa? Eboo wewe nae vipi.

Kazi kubwa ya hao jamaa ni kukusanya taarifa zote za kiintelijensia zinaohusu usalama wa watawala au kwa namna nyingine ya hao TISS ni kuhakikisha watawala wa nchi hii wako salama na wala sio kulinda usalama wa rasilimali za nchi hii...

Na hii ni kwa sababu hata wao wenyewe wana share zao kwenye hizo 10% ambazo mama yenu na genge lake wanazipata kwenye hiyo mikataba ya kimangungo...

Na mpaka sasa kitu pekee alichobakiza mama enu ni kuwauza tu nyie watanganyika kwa wajomba zake waarabu hili muende mkatumikishwe kwenye mashamba ya tende huko mashariki ya mbali wapuuzi nyie.
 
Kinacho kera zaidi hizo hela baadhi hazifiki kwenye miradi husika zinaishia kwa wajanja, wakiojiwa wanasema wamechukua billion mbili tu ya mboga.
Mikataba ya nchi sio rahisi kuivunja kihivyo hasa ikiwa sio taifa lenye nguvu kubwa, mnaweza kugeuzwa mfano wa Zimbabwe.
Imagine family mnakopa pesa mjenge nyumbani, anatokea member mmoja anaipiga hela ila deni linabaki kwa wanafamilia wote. Na nyumba (miradi) haija kamilika.
 
Hahaha wacha warudi tuone watakuwa na ngonjera gani kwa watanzania. Na hili lazima tuliulizie maana tuliambiwa hazina imejaa, alipoingia mama tukaambiwa hakuna kitu hazina, wakaanza kodi zisizoeleweka ...
Ongezeko la freight charges is directly proportional to inflation rate baaas.
 
Hivi na Nyerere naye aliwahi kuhongwa shahada ngapi katika utawala wake wa miaka 24?

Maza akiongoza kwa miaka 10 atajijazia mashahada asiyoyatolea jasho dadeki
Usimfananishe baba wa taifa na vitu vya kipumbavu mkuu.
Ukiweka K-vant+bange na Samia ukasema kipi bora nabeba zangu bapa nawasha na bange nasepa.
 
Back
Top Bottom