Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku sabaUmepewa kutumia hizo kwa muda gani tajiri
Inaonekana wamerefund kutokana na kifurushi ulichonunua siku hizo za changamoto ya internet.
Kama ulinunua cha siku unapewa hivyo hivyo, kwa wiki hivyo hivyo.
Hadi tigo?Mitandao yote wamefanya hivyo ndugu yawezekana wanatuona mazuzu sana
Labda ulijiunga bando hilo kabla.Pole sana aisee, mwenzio nimepewa 5Gb wiki nzima☺️☺️
Siku saba
1. Hudhani ulichoandika ni kuonyesha ujuaji tu ndugu?
2. Wewe si wao, Kulikoni kuwajibia tena kwa hisia tu?
3. Umeelewa tatizo la msingi hapa ni hilu bando kwisha kwa ku expire ambalo wengine tunalipigia kelele siku zote?
4. Kwani kama bando lisingekuwa la expire yangekuwapo malalamiko haya?
5. Kwa vile waonesha kuwajibia unaweza kutujulisha kwa nini bando hu expire? Au ni kama maziwa tu kuwa huchacha?!
Majibu yako tafadhali ndugu tajiri.
Mkuu mbona una jazba sana?1. Hudhani ulichoandika ni kuonyesha ujuaji tu ndugu?
2. Wewe si wao, Kulikoni kuwajibia tena kwa hisia tu?
3. Umeelewa tatizo la msingi hapa ni hilu bando kwisha kwa ku expire ambalo wengine tunalipigia kelele siku zote?
4. Kwani kama bando lisingekuwa la expire yangekuwapo malalamiko haya?
5. Kwa vile waonesha kuwajibia unaweza kutujulisha kwa nini bando hu expire? Au ni kama maziwa tu kuwa huchacha?!
Majibu yako tafadhali ndugu tajiri.
Pole sana aisee, mwenzio nimepewa 5Gb wiki nzima☺️☺️
Mkuu mbona una jazba sana?
Yaani jibu langu dogo tu lakini umeniandikia waraka.
Anyways, nimefikiria tu hivyo kulingana na utofauti wa kile mtu alichokuwa refunded.
Unalipwa/rejeshewa kadri ya kile ulichoweka kipindi cha matatizo ya internet.
Sasa wewe unaweka bando la jero MB200 ya siku halafu unataka urudishiwe GB2.
Pambana na hali yako mkuu.
Hadi tigo?
Mdau mi naona wametoa ofa, binafsi siku mtandao unazingua nilinunua GB zangu kadhaa na nikazitumia kiasi coz mtandao uliwa accessible kiasi. Ila uliporudi wamenipa tena GBs free, nadhani hapa ndio ule msemo wa kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake unahusika.1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando?
2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema?
View attachment 2992060
3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima, ila nyie fidia yenu ni kwa masaa 24 tu, tena kuanzia usiku wa manane?
4. Hivi ni kwa kutuona je enyi ndugu?
5. Kwamba hamuoni taabu kuuthibitisha usemi wa nabii Issa kuhusiana na ugumu kwa tajiri kuingia mbinguni?
6. Kwa hakika uthibitisho wenu ni wa matendo!
Kila la kheri mkuu.Ujuaji mwingi mno ndugu. Hadi jazba umeona? Si ujibu tu:
"Kwa vile waonesha kuwajibia unaweza kutujulisha kwa nini bando hu expire? Au ni kama maziwa tu kuwa huchacha?!"
Duuuh aisee1. Mkuu mada umeielewa lakini?
2. Suala ni kwa nini bando huchacha?
View attachment 2992122
3. Vita hivi si vya leo wala vya kwisha kesho!
4. Kupafanya pale kusomeka lolote mbona inawezekana mno wandugu?
Mdau mi naona wametoa ofa, binafsi siku mtandao unazingua nilinunua GB zangu kadhaa na nikazitumia kiasi coz mtandao uliwa accessible kiasi. Ila uliporudi wamenipa tena GBs free, nadhani hapa ndio ule msemo wa kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake unahusika.
Kwenye maelezo yako usingeweka neno mtandao kusumbua ungeeleweka kirahisi, bando kuchacha ni hoja ya zamani tulishazika labda kama we mgeni Tanzania.1. Labda ni kiswahili kigumu. Msingi wa hoja:
"Kuna uhalali gani bando lisilotumika kuchacha?"
2. Wacha maneno, weka muziki!
Kuna watu bado wanatumia mtandao wa voda