Vodacom, compensation hii ya bando ni kwa kutuona je?

Vodacom, compensation hii ya bando ni kwa kutuona je?

Nilichobaini mleta mada ni mjuaji na ana stress za maisha, ana complain kwa vitu ambavyo havina utatuzi kwa njia yake ya kuleta porojo jf, vilishaongelewa na wakubwa, media zikaimba na hakuna kilichobadilika.

Pili mtu anaenunua bando la MB 500 kwa zama hizi ni mwanamke(tena wa buza huko) anaetegemea vocha za kuomba ila mwanaume unanunua bando la 500 MB na unalalamika kabisa, Dah.
 
Mimi nimepewa 4GB. Inawezekana wanatoa bundle kwa kulingana na utumiaji na uwekaji wa bundle kwenye Simu. Sasa kama jamaa anatumia Mb 35 za tuzo kwa wiki anataka apewe GB 80? Wanatoa kulingana na unavyotumia na kujiunga.
Yap...
Nadhani hiyo ndiyo sababu...
Matumizi yako yataamua wakupe kiasi gani...
 
Acha kupiga kelele we weka namba yako ya mpesa tukuchangie hela ya bando kabla ya hizo mb 500 hazijakuishia


1. 500MB namaliza je kwa siku moja? Kumbe kazi nifanye saa ngapi ndugu? Au wewe wadhani kila mtu ni mwangalia pilau kama wewe?

2. Wapi umeona kuna ombi la mchango wapi ndugu tajiri?

3. Wewe ukiwa tajiri ndugu kina Bakhresa kumbe watakuwa nani ndugu?
 
Kuna watu hawajamuelewa mtoa mada anamanisha mtandao umesumbua siku tatu ingetakiwa ata kama unapewa mb 250 upewe za siku tatu
 
Back
Top Bottom