Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kivipi mkuuMtaani wanaitwa wapiga kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuuMtaani wanaitwa wapiga kura
Kwenye maelezo yako usingeweka neno mtandao kusumbua ungeeleweka kirahisi, bando kuchacha ni hoja ya zamani tulishazika labda kama we mgeni Tanzania.
Nimepewa GB 3 kwa siku saba..,.Na Tigo wamenipa GB 5 kwa siku saba...lakin sio kesi kama hujarizishwa amia Airtel au halotel...na yenyewe ni mitandao
Ukapuku wako peleka huko huko unakuja kusumbua watu na shida zako...yaani kwa nini haujatafakari wenzio wapewe 1GB, 2GB,3GB nk...ww wakupe 500MB na bado una nguvu ya kukaza fuvu..1. Amia ?!
2. No wonder! 🤣
Acha kuwachafua Vodacom .huu ni mtandao mzuri sana na unaowajali sana wateja wake. Ninapendekezwa sana na huduma zao na namna unavyosaidiwa pale unapopata tatizo.
Suala la hitilafu ya mtandao halikusababishwa na wao. Tuwe na shukurani na moyo wa kuwatia moyo watu.msifikiri biashara ni lelemama.
Mwendo wa kukopa jero jero tu, ndio maana silalamiki. Kauli yako ya kuniita tajiri ikawe dua kwangu niwe tajiri kweli In Shaa Allah.3. Au kwani wewe huweka bando la shs ngapi ndugu tajiri? 🤣🤣
Ukapuku wako peleka huko huko unakuja kusumbua watu na shida zako...yaani kwa nini haujatafakari wenzio wapewe 1GB, 2GB,3GB nk...ww wakupe 500MB na bado una nguvu ya kukaza fuvu..
Mwendo wa kukopa jero jero tu, ndio maana silalamiki. Kauli yako ya kuniita tajiri ikawe dua kwangu niwe tajiri kweli In Shaa Allah.
Ni kweli wamekuonaje mkuu?
Mi nimepewa GB 2 kwa wiki.
Yeah, wapuuzi, unampa bando unampangiqa muda eti masaa 24...Ujuaji hii nchi ni tatizo kubwa sana!
Kwani umeambiwa shida ni ukubwa wa bando au muda?
Acha kupiga kelele we weka namba yako ya mpesa tukuchangie hela ya bando kabla ya hizo mb 500 hazijakuishia1. Kwamba ulizika ukimaanisha wewe nani?
2. Kama majibu unayo, ninakazia, weka muziki:
"Kuna uhalali gani bando lisilotumika kuchacha?"
Nimekuwa mteja mwaminifu wa Halotel kwa zaidi ya miaka 7 lakini sijawahi kupokea ofa hata moja ndani ya miaka yote hiyo! Hawa jamaa si wa kawaida.Kwa ujumla hamna mtandao mgumu kutoa ofa kama halotel[emoji3][emoji3][emoji3] ila jana wakatoa arifu ya mb 500 nimeshangaa
Itakuwa Voda hao...Nimepewa gb 2 hawana baya mkuu