Vodacom, compensation hii ya bando ni kwa kutuona je?

Vodacom, compensation hii ya bando ni kwa kutuona je?

Kuna watu hawajamuelewa mtoa mada anamanisha mtandao umesumbua siku tatu ingetakiwa ata kama unapewa mb 250 upewe za siku tatu
Na sisi siku ya changamoto hatukuweka bando lakin tumepewa unazungumziaje hapo.,,?? Hii mitandao sio wajinga..
 
Back
Top Bottom