Yap...Mimi nimepewa 4GB. Inawezekana wanatoa bundle kwa kulingana na utumiaji na uwekaji wa bundle kwenye Simu. Sasa kama jamaa anatumia Mb 35 za tuzo kwa wiki anataka apewe GB 80? Wanatoa kulingana na unavyotumia na kujiunga.
Wacha ujuaji na makasiriko dogo. Wametoa GB 4 kwa wiki labda kama kwako ndio wamekupa per day.Umepewa GB 4 ndani ya Saa 24 unajiona mjanja mwisho unakuwa huna kazi nazo unaishia kuangalia chonda ili kukimbizana na muda.
Acha kupiga kelele we weka namba yako ya mpesa tukuchangie hela ya bando kabla ya hizo mb 500 hazijakuishia
Airtel hawajanipa hata MB 1 na siku moja kabla ya mtandao kupotea niliweka GB 1. Hii ni haki kweli wakuu?
Sahihi. Mimi nimepewa 5gbMimi nimepewa 4GB. Inawezekana wanatoa bundle kwa kulingana na utumiaji na uwekaji wa bundle kwenye Simu. Sasa kama jamaa anatumia Mb 35 za tuzo kwa wiki anataka apewe GB 80? Wanatoa kulingana na unavyotumia na kujiunga.
hao jamaa hata kukopesha kwao ni mwikoKwa ujumla hamna mtandao mgumu kutoa ofa kama halotelπππ ila jana wakatoa arifu ya mb 500 nimeshangaa
Yaani hivi mb ni kitu cha kulalamika hivi???Naona wanaume wa dasalamu wanagombania vitu vya Bure ππ Bai the wei nimepewa GB 10 SIKU 7
VODACOM OYEEEEE
Wacha weeeeee, kula kulala kwa shemeji yako huyo.
πππππIsijekuwa ID yako imewavutia?