VodaCom huu ujumbe wenu mnaotutumia kila muda, kila saa unakera sana

VodaCom huu ujumbe wenu mnaotutumia kila muda, kila saa unakera sana

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
1,667
Reaction score
2,595
"Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia.

Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando."

Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani mpaka kero.

Mnazingua sana kwani mkituma mara moja mnakufa?

Meseji kila muda kila saa mtadhani mnatudai.
 
Wanafiki sana , wanahifanya wanajali wateja wao kumbe ni unafik na kuhipendekeza tu
 
Nunua bando acha gubu
Hakuna sheria inayolazimisha mtu kununua bando mamaaa ujue😅 na hizi sms huwa wanatutumia tuliozuia matumizi bila bando yaani kifurushi kikikata hakuna kupita na salio la kawaida. Ni kama huwa wanatukomesha au kulipizia kwa kutuma txt za kukera kama hivyo.
 
Back
Top Bottom