Hahahaaa. Hivi tutakaaje au ndio utakaa upande wetu huku unatetema chini kwa chini. [emoji12] [emoji12]Let me save the date....
siku mbili kabla ya mechi nitaku PM nikakuchukulie tiketi mapema....
Siku hiyo si chini ya goal 3 mtani.....
Draw nyingine na nyingineKete zimeanza kukaa sehemu zake sasa.
Asante emmyta kwa pongezi. Ilikuwa haina budi lazima JF wapate kinachojiri. Na hapo unatakiwa ukubali matokeo yote kwenye soka.[emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera sana mtani wangu umejua kujikaza sababu uliokuwa unatangaza nao wote wamekuacha peke yako.
Huo ndio ushabiki sasa Mtani wangu. Nimeipenda hii.
Siwezi kuwaogopa vibonde wetumkuu kumbe muoga hiv had mpira uishe simba wabovu tu
Haha siku hiyo nitakaa jukwaa la Yanga ili nitoe msaada mapema pindi utakapo zimia baada ya mnyama kushusha mvua ya magoli kwa yeboyebo.... [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaaa. Hivi tutakaaje au ndio utakaa upande wetu huku unatetema chini kwa chini. [emoji12] [emoji12]
Sababu ukiwa mshabiki wa Simba halafu ukakaa upande wa yanga lazima utetemeke tu na kukaa upande upande.
Kabisa yaani Mtani nina furaha ya ajabu aiseee.Asante emmyta kwa pongezi. Ilikuwa haina budi lazima JF wapate kinachojiri. Na hapo unatakiwa ukubali matokeo yote kwenye soka.
Una furaha sana huko uliko siku ya leo
Hahahaaa. Mie sina ushabiki huo Mtani. Niko vizuri huwa sauti tu ndio inakauka ila sio kuzimia.Haha siku hiyo nitakaa jukwaa la Yanga ili nitoe msaada mapema pindi utakapo zimia baada ya mnyama kushusha mvua ya magoli kwa yeboyebo.... [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wiki hii lile jukwaa liligubikwa na majonzi maaana mikeka imechanika kwelikweli [emoji20] [emoji20]Wale wa kutandaza mkeka mu hali gani?
Si ndio akija kucheza nadhani na mtibwa kama sio Mbao watakuwa na idadi sawa ya mechi. Akishinda atakuwa amezidiwa point tatu tu na simbaPoint 6, Yanga ana gemu mkononi nafikiri.
Aisee.Wiki hii lile jukwaa liligubikwa na majonzi maaana mikeka imechanika kwelikweli [emoji20] [emoji20]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Mimi huwa natazama mambo ya ku shout huwa siyawezi.....Hahahaaa. Mie sina ushabiki huo Mtani. Niko vizuri huwa sauti tu ndio inakauka ila sio kuzimia.
timu hazieleweki ni kama simba alichofanya leo aisee.....Aisee.
Nini kiliwasibu?
Hahahaha nlikua katikati ya bahari jaman network inasumbua naona mambo ni fireeeeJoseverest, zeshchriss na radika njooni huku leo mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mtani analo.
Hahahaaa. Mie napiga sana kelele aisee. Siwezi kujibana bana kushangilia.[emoji12] [emoji12] [emoji12] Mimi huwa natazama mambo ya ku shout huwa siyawezi.....
Ila usijali nitakuja na cartorn nzima ya maji kwa ajili yako.....
Daaahhh.timu hazieleweki ni kama simba alichofanya leo aisee.....
Tuombe uzima mtani.....Hahahaaa. Mie napiga sana kelele aisee. Siwezi kujibana bana kushangilia.
Hahahaaa. Sawa karibu sana Mtani.