Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Hivi tutakaaje au ndio utakaa upande wetu huku unatetema chini kwa chini. [emoji12] [emoji12]Let me save the date....
siku mbili kabla ya mechi nitaku PM nikakuchukulie tiketi mapema....
Siku hiyo si chini ya goal 3 mtani.....
Sababu ukiwa mshabiki wa Simba halafu ukakaa upande wa yanga lazima utetemeke tu na kukaa upande upande.