Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Vodacom Premier League, Simba SC 3-3 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam

Let me save the date....

siku mbili kabla ya mechi nitaku PM nikakuchukulie tiketi mapema....

Siku hiyo si chini ya goal 3 mtani.....
Hahahaaa. Hivi tutakaaje au ndio utakaa upande wetu huku unatetema chini kwa chini. [emoji12] [emoji12]

Sababu ukiwa mshabiki wa Simba halafu ukakaa upande wa yanga lazima utetemeke tu na kukaa upande upande.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera sana mtani wangu umejua kujikaza sababu uliokuwa unatangaza nao wote wamekuacha peke yako.

Huo ndio ushabiki sasa Mtani wangu. Nimeipenda hii.
Asante emmyta kwa pongezi. Ilikuwa haina budi lazima JF wapate kinachojiri. Na hapo unatakiwa ukubali matokeo yote kwenye soka.

Una furaha sana huko uliko siku ya leo
 
Hahahaaa. Hivi tutakaaje au ndio utakaa upande wetu huku unatetema chini kwa chini. [emoji12] [emoji12]

Sababu ukiwa mshabiki wa Simba halafu ukakaa upande wa yanga lazima utetemeke tu na kukaa upande upande.
Haha siku hiyo nitakaa jukwaa la Yanga ili nitoe msaada mapema pindi utakapo zimia baada ya mnyama kushusha mvua ya magoli kwa yeboyebo.... [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahahaaa. Mie sina ushabiki huo Mtani. Niko vizuri huwa sauti tu ndio inakauka ila sio kuzimia.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Mimi huwa natazama mambo ya ku shout huwa siyawezi.....

Ila usijali nitakuja na cartorn nzima ya maji kwa ajili yako.....
 
Back
Top Bottom