Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Beki wanamungo ndo kazingua unamwachaje adui aende golini kwako na wewe unamkimbia kagere?
Hivi tunaposema offside unaelewaje mwenzetu? Kumbe offside inapoamliwa huwa adui anakuwa position moja na beki?
Kama Beki hapaswi kuenda na movement na mpira bali abaki nyuma kumlinda mchezaji basi filimbi zote zinazoamliwa kuwa ni offside hazipaswi kuamliwa hivyo sababu mabeki ndio wanazingua kumuacha adui golini mwao.

Beki wa Namungo katoka kufuata mpira ulipo sasa wewe unasema kamkimbia kagere wakati huo mpira haukuwa position hiyo.

Kabla ya mpira wa kichwa kupigwa, kagere hakuwa offside. ila wakati inapigwa pasi ya kichwa kagere alikuwa offside position.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja, wanataka tushinde kirahisi wamesahau kuwa hii ni vita vya wachezaji 22

Kuna mmoja kutwa kucha kulalamika, Kagere, Kagere daah aisee! wanaboa sana..!Kwakweli umemaliza, asante mkuu
 
Beki alimkimbia kagere wakati kabla bado ule mpira aujaguswa na kichwa,kitendo cha mpira kuguswa na kichwa while kagere yuko peke yake ilishakua offside,then hata kama usingeguswa wakati beki kamkimbia kagere isingekua tu offside kama kagere angeunganisha direct kuupiga golini,lakini alijitengenezea kwa raha zake,ile ni clear offside na utaona tff itamsimamisha yule line 2 lakini matokeo yatabaki hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ndio Soka la Tanzania Mkuu. Twende nalo tu hivyo hivyo.
Timu zenye uwezo wa mpira na uwezo kiuchumi lazima malalamiko yawepo kutoka timu zenye ukata

Angalia Barcelona, Man Utd kipindi cha Sir, Liverpool mpaka wanaitwa VAR na Tanzania Simba SC, kwahivyo vumilieni tu wakati wenu utafika[emoji23]

Back to back...Itaendelea sana mtani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…