Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

Daah hii Simba hii, poleni Sana vyura fc najua inawauma sana
Simba hii imefanyaje tena mkuu? Maana kuna watu wameanzisha hadi thread ya kuiponda simba hii ya kwamba wachezaji hawana spidi wala skills. ni wazi matokeo wanayoyapata Simba hii bado mashabiki hawayaridhishwi kwasababu sio kwa uwezo wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HILO LIKOMBE MFUNGIWE TU MUENDE NALO BUNJU ....maana si kwa kupakwa mafuta huko.
 
Kwani FT ngapi ngapi? Maana update zimekatika ghafla mno.
Acha uongo wewe..! Kwanza kuchangia mada yenyewe umecomment mara moja kisha ukaingia mitini..!

Tulikuwa hewani kwa muda wote hadi mwisho

VPL, FT; Simba SC 2-1 Polisi
 
Simba ni timu mbovu sana huo ndio ukweli,timu inashinda kwa mbeleko mbeleko tu.
Simba inatia kinyaaaaaaa kuitazama
Timu imezidiwa kocha hajui na wala haelewi anachokifanya Simba inacheza mpira utadhani ni Mlalapua Rangers
Muda mrefu huwa nasema Simba timu ni mbovu zaidi ya sana kuna muda inapata matokeo lakini sio kwa tactical ya kocha bali ni uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja
FT; Simba 2-1 Polisi

Nadhani habari umesikia, au tukuongezee sauti? Simba ni kiboko ya wadudu warukao na kutambaa

Endelea kuteseka....
 
Acha uongo wewe..! Kwanza kuchangia mada yenyewe umecomment mara moja kisha ukaingia mitini..!

Tulikuwa hewani kwa muda wote hadi mwisho

VPL, FT; Simba SC 2-1 Polisi
Mkuu mueleweshe taratibu huwezi kujua labda ana matatizo gani. Matokeo yapo hivi Offside fc wamepata ushindi wa goli 2 kwa moja dhidi ya Polisi Tanzani. Offside fc inaongoza ligi na pia inaongoza kwa ngekewa kwa waamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini uteseke?

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
FT; Simba 2-1 Polisi

Nadhani habari umesikia, au tukuongezee sauti? Simba ni kiboko ya wadudu warukao na kutambaa

Endelea kuteseka....
Huo ushabiki maandazi, Ushabiki uchwara wa kusifia kwenye ujinga mimi sina,Endelea kushabikia ushindi wa kubebwa na magoli ya Offside ukidhani una timu bora kumbe ni kikundi cha matapeli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…