Am sorry dogo Dilunga. GoooooooooooSven asiwe kama Uchebe kung'ang'ania wachezaji. Toa Dilunga
Penati yakupewa hiyo. Lufunga hakuufikia mpira
Bado mbili56' Goooooooooooooooooooaaal Dilunga anaipatia Simba SC bao la tatu kwa mkwaju wa penalti
Simba SC 3-0 Lipuli FC
Bado moja72' goo goo goo la la laaaaaaaa, Chama anakosa nafasi ya wazi, ilikuwa hatar
Simba SC 4-0 Lipuli FC