Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

63' Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Kahata anaingia Deo Manda

Ametoka Mkude ameingia Mzamir Yassin
 
65' Dilungaaaaaaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal Hassan Dilunga anaipatia Simba SC bao la nne akipokea pasi kutoka kwa Shiboub

Simba SC 4-0 Lipuli FC
 
72' goo goo goo la la laaaaaaaa, Chama anakosa nafasi ya wazi, ilikuwa hatar

Simba SC 4-0 Lipuli FC
 
74' Lipuli walipata kona ambayo haikuzaa matunda ikiwa kona ya 4 sawa na Simba
 
76' Lipuli wanapata free kick baada Kennedy Juma aliyeingia baada Wawa, kuunawa mpira

Inapigwaaaaaaa njeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom