Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Aisee ubingwa ni wetu wewe Shadeeya, kipigo tulichokipata jana kisikusahaulishe.

Simba nguvu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wa Simba, benchi la ufundi na viongozi wetu wanazingua sana. Wakati mwingine nikimuona msemaji wa Club Bwana Manara akizungumza kwa kujigamba najiuliza hivi kweli haoni kua ushindi wetu siju hizi unakua kama tunabahatisha?
Duuhh!! Poleni sana.
 
Pole lakini Mtani. Nadhani kwa kilichotokea jana hapo ndio mtajua namna ya kuzuia msitanguliwe mana mlijisahau kwa kujiaminisha hata mkitanguliwa mtakamubaki tu. 🀣🀣
Mtani......Mimi sasa hivi taarifa ninayoisubiri kwa sasa ni kujua tu KISHINGO anaondoka na Ndege ya saa ngapi?? Basi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa wakikaza hivi tutapata wapi magoli sisi Kaka. πŸ€”πŸ€”πŸ€”
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Offside za jana 7,bila kelele za mashabiki na waziri nimagori matano hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…