Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Aisee ubingwa ni wetu wewe Shadeeya, kipigo tulichokipata jana kisikusahaulishe.Kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23] Mkifungwa aaah mnajitoa ufahamu mpaka raha Mtani.
Kabisa haya ni ya mpito tu japo bila kuzidisha kiasi cha miamala na kubadilisha hizi IST gari za bei kubwa kidogo nionavyo tutahadhirika. [emoji41][emoji41][emoji41]
Simba nguvu moja
Sent using Jamii Forums mobile app