Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23] Mkifungwa aaah mnajitoa ufahamu mpaka raha Mtani.

Kabisa haya ni ya mpito tu japo bila kuzidisha kiasi cha miamala na kubadilisha hizi IST gari za bei kubwa kidogo nionavyo tutahadhirika. [emoji41][emoji41][emoji41]
Aisee ubingwa ni wetu wewe Shadeeya, kipigo tulichokipata jana kisikusahaulishe.

Simba nguvu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wa Simba, benchi la ufundi na viongozi wetu wanazingua sana. Wakati mwingine nikimuona msemaji wa Club Bwana Manara akizungumza kwa kujigamba najiuliza hivi kweli haoni kua ushindi wetu siju hizi unakua kama tunabahatisha?
Duuhh!! Poleni sana.
 
Pole lakini Mtani. Nadhani kwa kilichotokea jana hapo ndio mtajua namna ya kuzuia msitanguliwe mana mlijisahau kwa kujiaminisha hata mkitanguliwa mtakamubaki tu. 🤣🤣
Mtani......Mimi sasa hivi taarifa ninayoisubiri kwa sasa ni kujua tu KISHINGO anaondoka na Ndege ya saa ngapi?? Basi.
 
Back
Top Bottom