Vodacom Premier League: Yanga yaichapa Azam 1-0 na kukamata usukani wa ligi

Vodacom Premier League: Yanga yaichapa Azam 1-0 na kukamata usukani wa ligi

Unapoweka uzi wa Live Updates, tuna assume kwamba umechukua mamlaka ya kutoa taarifa za moja kwa moja za mechi hiyo, unavaa viatu vya watangazaji. Na kwa muda huo, unaweka unazi pembeni.

Kuna mdau anaitwa Ghazwat, huyu ni mshabiki mzuri sana wa Simba, akianzisha uzi kama Yanga inacheza anautendea haki.

Pia kuna Joseverest, ni Yanga lialia, ila akianzisha uzi wa Live Updates hata kama ni Simba inacheza anakuwa fair kwenye kutoa updates.

Si vibaya ukajifunza kutoka kwa wengine.
Ghazwat kwa Live Updates namkubali sana utadhani niJesse John anatangaza kumbe iko kimaandishi.
 
Eti "nasikia" umesikia kwa nani?!! Badilika usiwe kama shoga!! Uwezi kuleta habari za "eti nasikia" kwa wanaume wenzako!! Hizo ni tabia za magay na watoto wa kike!! Au una chembe chembe?!!!

Umemaliza salama mitihani yako ya form IV kijana.?
 
Back
Top Bottom