Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kijana wako akumbuke mmoja kati ya rafiki zake au mtu wake wa karibu sana ndie muhusika...kwani hiyo namba imesajiliwa kwa jina jingine?
 
Kwanin mnaendelea na mitandao ya kitapeli
hamieni zantel mbona hatujawahi kuona post za kulalamikiwa kwa utapeli humu?
 

mikwara ya kipumbavu hata huko mahakamani utaficha jina lako?
 
mikwara ya kipumbavu hata huko mahakamani utaficha jina lako?

...ndo staff wa voda mlivyo dadeki,fanyeni masiala tukutane mahakamani mtayajua majina yote nchini na hamna rangi mtaacha kuiona,tumeshacheka sana na nyani....
 
voda wanaboa na inaendeshwa kihuni utazani wamewaajiri mataira!! yan wanatia hasira mpaka unatamani upasuke. peleka kwa pilato hao, tupo nyuma yako kiongoz
 
Hawana uwezo wa kutengeneza chip nying wnabana matumizi!...so ukiwa haupo hewan kwa mda flan wanampa mtu mwingne bongo kila kona kuna matatizo ya aina yake
 
Mkuu tuko tayari kwa mapambano elekeza usaidiwe vipi ,nimenuna mbaya wameshatapeli wife hhao kima!
 
Hawaa jamaa ni wezi sana mkuu mimi mwenyewe washanipiga sana
Nitachangia gharama za mawakili mkuu

Mkuuu kwa michango yote nione PM eeeee


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 

kitu chochote ambacho kina idadi kubwa ya watz ujue hamna k2. anza na chama cha siasa, kampuni ya cm n.k. tafakari
 

hahaaaa nimejikuta nacheka lol...
 

baki njia kuu!!
 
jamaa yangu ilishamtokea,nikampigia simu na kumtuhumu yule mtumiaji mpya wa ile namba kuwa kaiba simu na kashindwa kubadilisha line,jamaa akaenda vodashop nikapigiwa simu na kuambiwa nisimsumbue yule ni mteja halali kwamba line isipitomika ni nan atailipia kodi,ndo mana wanampa mteja mwingine
 

ha ha ha ha... analysis yako imeenda shule sana hii. nimeipenda sana Mkuu MZAWA. Hapa JF Tupo wengi lakini. Au hii ndo exception....ha ha ha ha
 
kweli vodacom tanzania kazi ni kwako...

pamoja na malalamiko hayayote bado mmewakaushia tu wateja?? aaaa kweli mmetuchoka asee Vodacom Tanzania
 
Last edited by a moderator:

WEZI tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…