Vodacom Tanzania
Official Account
- Aug 12, 2013
- 324
- 126
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi...
Labda huko, ila huku tunateleza tu leoSidhani
Ukipigwa ban useme moderator madiktetaKama unatumia line ya vodacom, nakujulisha ya kwamba wameachia internet bure baada ya kurekebisha shida ya mtandao, kwa sasa hata kama huna bando unaperuzi free leo, sijui mwisho lini ila nawasanua leo vodacom internet ni bure.