7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,458
- 4,000
Hii ni aibu halotel yaan mna nipa mb 500 kwa 24 hrs mmenionaje labda hebu chukueni mb zenu hizo za ngama sizihitaji.limtandao lenyewe lipo slow halafu down bora hata voda fasta...
"Intaneti imerudi! Umepokea MB500 za kutumia ndani ya masaa 24. Halotel, Pamoja kwa Ubora!"
"Intaneti imerudi! Umepokea MB500 za kutumia ndani ya masaa 24. Halotel, Pamoja kwa Ubora!"