Vodacom: Tutawafidia wateja wetu waliopata changamoto ya Mtandao wakiwa wamenunua huduma

Hongera Kwa Kurejesha huduma ya Internet, japo bado haijaimarika sawasawa.

Nakiri kupokea kiasi cha 2GB mlizonitumia mapema Leo asubuhi
 
Tukumbushane tatizo lilianza lini tuweke kumbukumbu sawa ya kurejeshewa vifurushi
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kwa hili Vodacom wanastahili pongezi. Mb zangu nimefidiwa na sasa nasurf mtandaoni. Big up Vodacom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…