Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA


Tcra wapo kukusaidia fikisha malalamiko kwao
 
Tafuta wakili wapeleke voda mahakamani. Wamekusababishia pesa kukaa mda wote huo bila kuzalisha, lakini pia wanakupotezea muda wa kufuatilia karibia kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…