John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Huenda wewe ni mmoja wa wale matapeli, inabidi kwanza ueleze hiyo milioni 10 umetolea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ungeziacha tu huko huko. Maana zitakusaidia wakati wa kuwagawia wale wajumbe wetu wa Vijijini.
Wanaofungua ni Vodacom, nikienda TCRA walivyo na urasimu wataniambie nirudi Vodacom
Nimejaribu nayo haifaiHaukua hata na Mpesa app?
TCRA kuna kitengo cha kushughulikia malalamiko kama hayo?Dawa yao nenda kakae hapo wambie huondoki mpaka wakuoe hatma ya laini yako au nenda huko TCRA au waombe kuonana na epimark
Tatizo ni Kiwango Cha pesa.....wanataka wazipoteze juu Kwa juu
Sasa kama ipo wanashindwa vipi kuitoa au kuihamisha kwenda namba nyingine wakati wao ndio wenye hiyo system.....huu uhuni huu unafanyiwaPesa waliangalia kwenye system bado ipo
Yaani voda waibe 10m?Wamesha kula pesa wanakusumbua Bule
USSR
Je wanaoweka hadi 50 millionQanataka kukutapeli hzo mil10 zako ila una moyo unawekaje hela nying hvo kwenye simu ni heri niweke ndani kuliko kwenye simu
Voda kama kampuni au wafanyakazi njaa ambao hata buku 5 wanapitia?Yaani voda waibe 10m?
Sheria za Benki Kuu ya Tanzania haziruhusu mtu kuwa na million 10 kwa wakati mmoja kwa siku kwenye line ya simu; maximum amount ni million 5 kwa siku. Wewe uliwezaje kuweka million 10 kwa wakati mmoja kwenye line ya simu, na wakati huo huo ukashindwa tena kuwa mwangalifu na laini yako hadi ikafungiwa ikiwa na kiasi kikubwa hicho cha fedha?Wakuu kwema?
Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi
Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri
Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea error tu yaani imefungwa kwa bahati mbaya na nisubiri kwa saa 24 itakuwa imefunguliwa, hiyo ilikuwa ni wiki iliyopita
Saa 24 zilipopita bado ikawa imefungiwa, nikaenda Vodacom makao makuu kuwaelezea
Makao makuu wakaniambia mbona line yako inaonekana imeshafunguliwa? Nikawaonyesha kwa kupiga simu pale kuwa haifai kupiga
Ndipo wakaniambia watashughulikia ndani ya saa 24 itakuwa tayari
Nikasubiri saa 24 zikapita bado ikawa haifai, nikawapigia huduma kwa wateja kupitia namba nyingine, huduma kwa wateja wakasema namba inaonyesha imeshafunguliwa nikate simu niijaribu tena, tukabishana pale maana nilijua haitaweza kupiga
Nikarudi tena makao makuu, wakaniambia wameishughulikia na ndani ya masaa 3 itakuwa tayari, masaa 3 yakipita ikawa haifai kupiga vilevile
Kesho yake nikarudi tena makao makuu nikawaeleza kuwa line haikufaa kupiga na sasa ninachotaka ni kupata hela zangu kwenye M Pesa hata kwa njia nyingine maana sina imani na mifumo yao tena (kumbuka siwezi kuingia M Pesa wala kufanya chochote)
Makao Makuu wakasema haiwezekani kupata hizo hela kwa njia nyingine, ni kupitia menu ya M Pesa tu,
Ila wakaniambia waliofunga line sio wao ni TCRA ila wanaipigania sana na kesho yake (leo) itakuwa tayari, jamaa akanipa na namba yake binafsi nimpigie kama haiatakuwa tayari
Sasa leo line haijawa tayari, na jamaa hapokei Simu
Wakuu hapa nafanyaje, maana hela zimekwama na sina uhakika kama nitazipata lini au ndio zitapotea moja kwa moja
CC Vodacom Tanzania
Hilo ni suala la kisheria... Nenda pale makao makuu na mwanasheriaWakuu kwema?

- Awafungulie kesi mapema iwezekanavyo, hakika watamtafuta kabla hali haijawa mabaya. kesi kama hizo ndio mawakili wanazitafuta.Duh! 10ml unahifadhi m-pesa! Haupo serious na uchumi wako. Anyway nenda TCRA.
Ikishindikana nenda kwa waziri wa habari na mawasiliano.
Wakuu hapa nafanyaje,
Wakuu kwema?