Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuwekea ilu utumie unavyotaka wewe, badala ya kununua kifirushi Cha elfu tano Sasa nunua Cha 4500. Wako sahihi maana utalipa utakapoongeza salio.Mkuu hujanielewa.
Tatizo sio kukata pesa yao, tatizo wanakata pesa yao halafu hizo nyengine wanazichukua wanakuwekea kwenye salio la kawaida hili ndo tatizo, dawa ya deni ni kulipa na ndivyo ilivyo wakate pesa yao lakini sio wakishakata wanachukua na pesa yote ilobaki kwenye mpesa na kuiweka katika salio la kawaida
Niliwapigia niliwakaa.. kama moto. Wasnge kila nikiweka salio baada mda nakuta 0.00 nawapigia wananipa procedure, nikiweka tena salio baada ya mda nakuta 0.00.. kuna siku nikachachamaaa vibayaa kama mwehu, tokea siku hiyo hawajarusi huo useng wao hadi leo. Naweka salio linakaa tu,Unaambiwa ulijiunga na huduma ya ringtones
Hao mbwa wamenichosha na ule u-enge wao wa Tuzo point. Nikitaka kuziingiza Mpesa inakuwa shughuli. Inaonekana 300 wakati pointi ni 5000+Niliwapigia niliwakaa.. kama moto. Wasnge kila nikiweka salio baada mda nakuta 0.00 nawapigia wananipa procedure, nikiweka tena salio baada ya mda nakuta 0.00.. kuna siku nikachachamaaa vibayaa kama mwehu, tokea siku hiyo hawajarusi huo useng wao hadi leo. Naweka salio linakaa tu,
Wana ka utapeki flani hivi ka Technolojia. Jana bimepiga menu ile ya DAR UNI nimekuta kifurushi GB 2, kwa siku 7. Buku tano nikaunga, ila narudi badae nakutana na menu ingine buku tano GB 1.22 😀😀😀😀... Nikasema hawa ni wezi sanaaa.. Tuzo Point kwangu huwa zinabadilika vizuri tu.. huenda wana kisa na wewe 😀😀Hao mbwa wamenichosha na ule usenge wao wa Tuzo point. Nikitaka kuziingiza Mpesa inakuwa shughuli. Inaonekana 300 wakati pointi ni 5000+
Umeelezea vizuri Sana hata mtoto Mdogo atakuelewaNi sawa unaenda dukani kwa mangi. Kwa kuwa ulikopa sukar ya mia5 jana, leo unaenda kwake na elf5 kupata bidhaa ya elf 2 , anakata deni, bidhaa husika anakupa na chenji harudishi anakujazia bidhaa usiyoitaka.
Exactly, haiwezekani ukope wakati Mpesa ina noti za kutosha.Lipa deni mzee, hii tabia ya kihuni mtaacha lini watanzania? Obligation yako huijui endapo unaingia mkataba wa kukopa? Mi naona hao jamaa hawana tatizo ila wewe ndio mwenye shida mahali flani!
Vodacom, hapo poooa!!!
mh! si wanaweza kutuibia hwa jamaa..Mkuu hujanielewa.
Tatizo sio kukata pesa yao, tatizo wanakata pesa yao halafu hizo nyengine wanazichukua wanakuwekea kwenye salio la kawaida hili ndo tatizo, dawa ya deni ni kulipa na ndivyo ilivyo wakate pesa yao lakini sio wakishakata wanachukua na pesa yote ilobaki kwenye mpesa na kuiweka katika salio la kawaida
[emoji3][emoji3]Voda wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu
Niwape indhari kuna mtindo voda wamekuja nao, kama unadaiwa nipige tafu mfano 500 ukitaka kununua kifurushi kupitia mpesa mfano kifurushi cha 5000 wanachokifanya ukilipia kwa mpesa wanachukua elfu 5 ulolipia kifurushi kwa mpesa hawakupi kifurushi bali wanaielekeza hiyo 5000 kuja kwenye salio la kawaida wanakata 500 yao halafu hiyo 4500 iliyobaki wanaibakisha kwenye salio la kawaida haya wanafanya bila hiari ya mteja huu ni wizi
Kwanini wasikate pesa wanayodai tu badala yake wanaingia kwenye mpesa na kukomba kiasi chote ulichotarajia kununua kwenye mpesa kisha wanaweka kwenye salio la kawaida bila khiari ya mteja? Huu utaratibu wa kibazazi voda mmeutowa wapi?hii ni too much kwa kweli
Tatizo sio kukata pesa yao, tatizo wanakata pesa yao halafu hizo nyengine wanazichukua wanakuwekea kwenye salio la kawaida hili ndo tatizo, dawa ya deni ni kulipa na ndivyo ilivyo wakate pesa yao lakini sio wakishakata wanachukua na pesa yote ilobaki kwenye mpesa na kuiweka katika salio la kawaida...