Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Kwa jinsi mnavyombandika hapa ndivyo walioumizwa naye wanavyokosa uvumilivu. Wewe ndiye ungeacha ama sivyo sitaacha kukumbuka madhila ya shetani. The devil incarnation!
 
Mungu si athumani na hukumu zake ni za haki. Mungu si binadamu, wala hatazami mambo kwa namna yetu, daima mapenzi ya Mungu yatimie kila wakati. Tuendelee kumuombea pumziko analo stahili.
 
Waache wa endelee kumsakama kwani kadri wanavyo endelea kumsakama ,mwisho wa siku watu watu wanazidi kupima aliyo yafanya ktk awamu yake na sasa au watu wanzidi kupima wanayo yafanya wao ambao wanamsakama na aliyo ya fanya mwisho wa siku ndipo unajua jamaa alikuwa yupo vizuri.

Hao wanao mponda sasa hivi wamepewa nafasi badala ya kufanya kazi wamebaki kuwa walalamikaji,nazani mmoja wao unamuona yupo kanda ya ziwa anadai wanamuonea na kumsakama na wese lina safiri kwa speed ya Escape Velocity na umeme pamoja na mvua zote lkn haueleweki unaktk kama zaidi ya Yondo Sister.
 
Siungi mkono huo upumbavu wako unaosema kwamba aliua watu sababu huu ndio ujinga wenu mlio bakinao kichwani.

Nacho takakukuambia nikwamba Magu hakuwa mkamilifu kama wewetu hapo ulipo.

Madhambi yako Mungu anayasamehe ukitubu.

Kama unaamini Mungu hasamehi basi wewe shetani ndio mungu wako.
 
Watakatifu wakoje mkuu?
Mtakatifu ni binadamu aliye hai au aliyekufa wa kaliba ya juu sana ambaye dini fulani au watu mbalimbali wanamheshimu kwa namna ya pekee kwa jinsi alivyoonekana kuwa karibu zaidi na Mungu hata akashirikishwa utakatifu wake. Kwa hiyo hutazamwa kama kielelezo cha uadilifu na pengine kama mwombezi pia.
 
Vipi sisi ndugu, jamaa na marafiki wa waliouawa? Tumemsamehe?

Vipi sisi wenyewe pamoja na ndugu, jamaa na marafiki wa waliotekwa, waliojeruhiwa, waliofilisiwa na walioporwa? Tumemsamehe? Kama bado basi peponi atapasikia tu.

Imeandikwa kinachobarikiwa duniani na mbinguni kinapata baraka. Kwa mantiki hiyo JPM yuko motoni, pepo hataiona.
 
Kuna mtu flani yupo mkoa flani huyo yeye atakwenda kuzimu kuishi na shetani maana anapenda mno pesa na madaraka.

Yaani akienda huko kuzimu kwa rafiki yake shetani angalau itakua afadhali.
 
Huyu njaa ananikumbusha machungu yan ni kiaz sana.
Mayalla kwa ishu hii ya kumtetea shetan na ushetan you are a notorious axis of evil.
 
Kama una kipaji hicho basi hongera sana, binafsi siwezi kumhukumu ni kazi ya MUNGU lakini unasema alitubu basi na kwa Watanzania angeomba radhi kwa baadhi ya aliyofanya kutubu huku uliowakosea umewachunia sio sawa
 
Toa upumbavu wako hapa..yan wewe uuwe na kutesa wenzio kimakusudi tu bila hata sababu yoyote ya maana afu utegemee eti utasamehewa tu kilain hiv hiv!!! Hivi wajua maana ya damu ya mtu wewe?! Au wafikiri kumua binadam ni kama kuchinja tu jogoo au beberu la krismas?!!
Shetwan kwake ni jehanam moton tu na tunasema achomwe sana, tena saaana.
 
Jifunze kuandika vizuri yakhe
 
Kama una kipaji hicho basi hongera sana, binafsi siwezi kumhukumu ni kazi ya MUNGU lakini unasema alitubu basi na kwa Watanzania angeomba radhi kwa baadhi ya aliyofanya kutubu huku uliowakosea umewachunia sio sawa

Makosa gani aliowatendea watanzania, hebu yataje hapa.
Nyinyi watu mnao jaribu kumchafua magu haiitaji akili nyingi kugundua ujuha wenu, inaonyesha wazi Magu aliwakatia mirija sawasawa.
Ushahidi wenu mnao utoa kuhusu ubaya wa magu ni wakijinga na hamna dhamira ya kutetea uovu, vinginevyo mnge mlalamikia mkapa pia kwa vurugu za uchaguzi zanziba.

Mna kaza mafuvu kwa Magu sababu ya ushabiki wa kijinga na wengine nikwaajili ya kutumbuliwa kwa ufisadi na vyeti feki.
 

We jitoe akili tu kama juha, lakini kaaukijua swala la motoni ama peponi Mungu mwenyewe ndio anamaamuzi.

Mahasirayako kama nyati hayana nafasi kwenye maamuzi ya Mungu, kunywa maji utulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…