Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Mikutano upi wa iringa naomba nijuze
 
Wapo wanaomwombea kila siku,tena Wacha Mungu!
(1Timo2:1-2) Wanamwombea Rais kwa ajili ya nchi na Taifa kwa ujumla,na wakati mwingine ili hasira ya Mungu isishuke juu ya Taifa hili akaangamiza,(Ezek.22:30)
Lakini pamoja na kumwombea Afya yake haimzuii Mungu kufanya anavyoona Yeye.
 
Watumwa wa mashambani walikuwa hawana taarifa za ndani. Zikipita siku tatu haramia hajafika kukagua mashamba na mjeledi mkononi fununu zinaanza. Za chini chini zikizidi kusambaa mashambani wote wanaombea Mungu fununu ziwe za kweli.

Watumwa wa ndani wanazo za uhakika. Wao wanaingia chumbani moja kwa moja kuchukua chupi za kufua na kudeki matapishi, lakini pia wanasema nae, vipi Bwana Master, tunaumwa ? Akizidi kudhoofika wanazidisha maombi ya uponyaji. Akifa hawatoroki, wanaishi utumwani milele.

You are a dumb arse house negro.
 
Nimekumbuka Uzi wa GT wa humu"inawezekana huko mbeleni akaomba kuachia madaraka kwa kutokua timamu kiafya"

Sasa nimeamini,Pasco hua haandiki kwa kubahatisha bahatisha!

Hope that wanaoku feed information wanakupatia hata vi hela vya maji vya kusukuma uzee wako!

Kila la kheri comrade!

Namuombea Rais wetu Afya njema hasa ya akili,ili afanye maamuzi sahihi katika kipindi kigumu anachopitia!!na apone haraka!
 
Wazalendo, uzalendo upi?
Kwani walio kwenye system wengi wao wazalendo au machawa?
 
Anaua watoto, halafu analaumu wazazi kuwaachia watoto wao kwenda mitaani!

She must be a devil. No sane person will be moved by the demise of a devil.
Huyo mwanamke utadhani ni mnyama chui asiye na huruma, hana utu hata kidogo,
Hujinasibisha na dini lakini afadhali ya viongozi wapangani wana utu kuliko huyu na bwana wake mzee wa Pwani
 
Ninaona aibu kumuombea! Na ninajisikia vibaya kumuombea!
Namwombea rais wangu kila uchwao,ewe mwenyezi mungu mtukuka na mwenye wingi wa rehma kwa dhati kabisa tunakuinamia tukikuomba umpe afya iliyo njema rais wetu,umuepushe na hila Ovu za iblisi na vijakazi wao,washindwe kwa kila hali,wewe mola wetu ni jabali usiyeshindwa lolote basi kwa hekma zako umpe afya iliyo bora rais wetu na umjaalie maisha marefu kiongozi wetu,#AMINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…