gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ukose uwezo wa kufikiri uwe na uwezo wa kuhoji?!Mmezoea maisha ya kutohoji?
Sasa gen z ndio kizazi bora kuliko chenu na kinahoji sio mambo ya kupelekeshwa hovyo hovyo.
VYOMBO VYA DOLA MALI YA CCM CHACHA
VYOMBO VYA DOLA MALI YA WANANCHI
KABUDI
👆🏼 hapa tukiwaambia nyinyi ni wajinga mtakataa?
CHACHA NA KABUDI NANI YUKO SAHIHI?Ukose uwezo wa kufikiri uwe na uwezo wa kuhoji?!
Akiombewa na wanu na INEC inatasha ndugu yangu pascal mayalaWanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu jf https://www.jamiiforums.com/threads...eli-ili-kumsaidia-aomba-rais-aombewe.2418533/
Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Ungejua usingeandika huu upuuzi.Njoo nikuajiri
Inahusiana nini na gen z kuwa tepe kifikra?CHACHA NA KABUDI NANI YUKO SAHIHI?
Kwamba Magufuli angeweka nafasi ya Mungu asingekufa!!?Pascal Mayalla ni ukweli usiopingika, sisi wote ni viumbe wa udongo ambao hauna uhai isipokuwa roho. Kipindi Dkt Magufuli anafariki, kuna walioumia na kuna waliofurahi (mimi binafsi niliumia sana). Somo tunalojifunza ni kuwa ukiwa na taifa la watu wanao Mtaja Mungu basi ogopa hata kama hauamini hasa linapokuja suala la watu kufa na wewe kusingiziwa hata kama haujafanya moja kwa moja. Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda). Dkt Samia, Rais wetu kapotoshwa sana na kundi fulani, tumuombee sana, maana nimeona ile Iringa ule haukuwa ujumbe rahisi ule ulikuwa Mkutano wa Nchi na muelekeo wake. Narudia tena Mkutano wa Iringa ulibeba ujumbe mzito sana wa kifaifa.
Njoo nikuajiri kenge wewe,uachane na viajira vya kulipwa laki nne mwezi mzimaUngejua usingeandika huu upuuzi.
Palikua na amri ya kutotoka nje
Pakisemwa usitoke nje na wabeba silaha basi usitoke,yale yalikua mapinduzi na wabeba silaha hawacheki na kima wakati wa mapinduzina ndiyo maana hii ni incompetent regime, kuwa na amri ya “kutokutoka nje” haimaanishi ku-shoot kila kilicho mbele yako, hata vitani kwenyewe ambako kuna all out war bado hairuhusiwi ku-shoot women and children, hairuhusiwi ku-shoot innocent people na ndiyo maana kuna neno “war criminals”.
a well trained soldier hapigi risasi watoto na wanawake kwa sababu kuna amri ya kutokutoka nje, kwa hiyo mama mja mzito kazidiwa asikimbizwe hospitali atapigwa risasi kwa kuwa amri ya kutokutoka nje?
hii ni incompetent regime na ndiyo maana hata askari hawana nidhamu, lkn mwishi incomoetence ni self destruction na ndicho kinachoendelea …
Hio nataka kukuonyesha mlivyo majinga ndio nchi imefika hapa na hakuna cha maana chochote mlichofanya,Inahusiana nini na gen z kuwa tepe kifikra?
Mimi usiniite mpinzani dadeki zako 😅Tupo smart kuliko unavyotudhania sema nyie wapinzani mpo kwenye mkwamo wa kifikra hamjataka kumove on bora sisi wajinga tukishaambiwa imekwisha ila kwa nyinyi wapumbavu hambadiliki. Now you know ujinga ni ignorance na upumbavu ni foolishness
Kwa kweli alizidisha uraisi wa hivi Nora nikoseEti mtu aliyeua hawa watoto ndo aombewe?
Fuk her na ukoo wake wote.
Pakisemwa usitoke nje na wabeba silaha basi usitoke,yale yalikua mapinduzi na wabeba silaha hawacheki na kima wakati wa mapinduzi
Martial law,kaa ndani
Kijana hii nchi hapo 1990s tu lami ilikua dar-moro-arusha,na manispaa,lami kwa wengi ilikua hadithi ya ajabu, usafiri ilikua shida,dar-mwanza siku tatuHio nataka kukuonyesha mlivyo majinga ndio nchi imefika hapa na hakuna cha maana chochote mlichofanya,
Vyombo vya dola ni mali ya dolaNakuuliza tena
VYOMBO VYA DOLA NI MALI YA CCM
VYOMBO VYA DOLA MALI YA WANANCHI
Kabudi na chacha wote ni Wana CCMkwa mujibu wa katiba nani yuko sahihi
Kati ya KABUDI NA CHACHA?
Innocent child anafanya nini nje kwenye martial law we fala!?hata martial law hakuna kinacho justify shooting of innocent children, a well trained soldier knows that, ukiona askari anapiga risasi na kufwatua risasi hovyo kwa chochote na yoyote huyo siyo “a well trained soldier”, and you dont want that kama kiongozi believe me.
hiyo ni incompetence na incompetence itakuja kumtafuna pia …
😆😆😆(Kumuombea yule mama ni kujitakia laana wewe na uzao wako!*
Yaani Mimi nilipwe laki 4.?Njoo nikuajiri kenge wewe,uachane na viajira vya kulipwa laki nne mwezi mzima
Atokee kwenye TV na Radio akituomba msamaha Watanzania wote , kwa dhati ya moyo wake na kujutia kweli.Samia akatubu kabla muda haujaisha