Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Impossible.Naomba uniwekee source ya kuthibitisha hilo.

Hiyo VW niliyokutajia itafute. Ndio model ninayoifahamu ambayo ina 320kph.

Kuna moja walikuwa wanaiuza Beforward ina to speed ya 300kph. Nikiiona ntaipandisha hapa.
 
Sikiliza vizuri, stock golf r na angeweza kwenda zaidi ya 300kph
 
Hiyo VW niliyokutajia itafute. Ndio model ninayoifahamu ambayo ina 320kph.

Kuna moja walikuwa wanaiuza Beforward ina to speed ya 300kph. Nikiiona ntaipandisha hapa.
Nimetafuta kila sehemu kuthibitisha Hilo sijaona mzee.
 
Uionje na Scoda kitu ya Czech Republic
 
Hizo za Japan sijui, ila ninekuonesha stock inayokwenda zaidi ya 155mph ambayo ulisema hamna. FYI ipo Golf R ya 400hp. Naweka rekodi Sawa tu sitafuti mshindi.
Hivi Nilikua naongelea golf GTI au Golf R?
 
naomba ushauri nilikua nataka ninunue vw golf ni gari imara ukitengeneza unasahau(reliability) au route za garage nyingi inabidi uwe umejipanga kufanya maintainance au tubaki tu kwenye toyota zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…