Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Umenikumbusha zamani tulienda Msimbati msafara ulikuwa na toota yenye engine 1HZ najua unazijua ni cc zaidi ya alfu nne tulikuwa nazo tisa. Wakati tunaelekea mto ruvuma yaani mpakani naNchumbiji, tulikutana na swamp la kutisha karibu tu na mto Ruvuma basi mkonga nje zoote tulinasa matopeni.

Kitambo lidogo ikapita land rover 109 hatari imebaba mizigo kufuu na ilipita kama kwenye lami na baadae ikaja kutuvuta mmoja mmoja kwa shilingi alfu mbili kila gari. Kweli 1HZ ni engine kubwa kuliko ile ya 109 lakini mmmh sijui huko kwenye gear box kuna ucchawi gani u.
 

Kwa akili ako inafika 240🤔🤔

Ndo yale yale unakuta toyo ya cc150 imewekwa speedo za 180km/h unaaza jisifu na kuisifu piki piki kwamba ina speed sana ila jamaa kaishia 100 tu😁😁 na kuizarau honda xl kisa speedo yake labda mwsho ni 160 au 140😁

Hilo ni swala lamarket na wamefanikiwa ndo mana umekuja kulitapa huku lina 240 ....😁 Speedo isikuchangenye mkuu tambua tu huwa kuna power inahitajika kulifikisha gari la uzito flan lenye umbo fulani kwnye speed fulani NO MATTER HOW A CAR I GEARED kama hiyo nguvu haipo basi speed flan haitafikiwa
 
Mzee mbona kama povu...unabisha Polo kufika 200 ?

Nenda kasome specification zake kwanza ile gari speed inafika nakumbuka kuna sehemu tulikua 160 kuna gari ilitukata kama tumesimama ikabidi jamaa aongeze mpaka 200 tukakaa nyuma ya ile gari kwa mita kadhaa.


 

Hii sasa ni kamba

Kuna porsche cayaman enyewe ako na four hundred and twenty...420hp stock sasa hiyo 1jz gte yenye 280hp inaingiaje hapo🤔
 

Costa ina four wheel? Umewah angalia tairi za costa niza mazingira gani ,, je za 109 ni mazingira gani na unajua ina four wheel . Mchawi si nguvu ni traction hata ukipewa engine ya hp 300 kama traction hauna kuna kigari cha 90hp kitapita wewe ukiwa hapo hapo unapasha tairi moto
 

Soma vizuri kabla ya ku reply ,, namaanisha 240
 
Sio tairi peke yake ziko factor nyingine nyingi tu ukitoa ukubwa wa engine
 
Itakua mini cooper hizo balaaa
 
Hii sasa ni kamba

Kuna porsche cayaman enyewe ako na four hundred and twenty...420hp stock sasa hiyo 1jz gte yenye 280hp inaingiaje hapo🤔
Mkuu Porsche Cayman ni matoleo ya kisasa zaidi. Mimi nilimaanisha Porsche 911 yale matoleo ya nyuma ikiwa stock ukishindanisha na Supra yenye 1jz-Gte stock.
 
Nilipita hicho kipande siku za karibuni.. kina mashimo mashimo labda kama wame yafukia sasa hivi.. unatembea na gari huku unakodoa macho tuuu... [emoji3][emoji3][emoji3].. ila kuna kipande flani unaeza tembea hata 320km/h
Arusha-Namanga ndio kuna maeneo ya kupiga hizi mashine mzee
 
Mkuu Mlikuwa na Land Cruiser mkonga nje yenye 1hz au 14B au 2H kama ni gari za watu binafsi wengi Land Cruiser wanazonunua Msumbiji au Malawi ni zile zenye 2H.

Njia ya Mpapa kwenda Dar Porini mpaka Msumbiji kwenye machimbo kule wengi wanatumia Land Rover 109/110.

Land Rover kwangu mimi naona ilipewa heshima sababu ndio ilikuwa gari ya kwanza kutumika sana nchini. Ukilinganisha Land Cruiser yenye 1hz na hizo Land Rover. Cruiser inakupa kila kitu huwezi kukwama na ukitoka porini uwazi service.

Hiyo njia ya Mpapa -Dar Porini huko Land Rover nyingi sana, Land Rover kwa kazi za pori inaua sana bearing na bush. Huko Dar porini ukipeleka L/Cruiser utapigwa vita ya kila aina na wenye 109/110.
 
Ndio boss tena tungefika zaidi ya hapo tulisimama Doma kwa dk zaidi ya 40 na Makambako saa 1 tulifika Tunduma saa 12 kasoro badala ya saa 1 asubuhi.
Ha ha ha mkuu mlifika kwa wakati mliotaka?
 
Jamaa yeye yake mpya bado hajapata changamoto ila wanasema shuguli ni kuafanaya matengenezo na kununua vipuri maana mafundi wengi hawazijulii.
Swala la spare vipi? Mdudu huyu unamsifia nieshamuona kuna jamaa yangu hapa ofisini anaye. Ni kweli tupu unachosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…