Kama kawaida Jf na ma engineer vijiwe. Yaani mjerumani gari yake speedo ionyeshe 240 wakati ki uhalisia haifiki? So kuanzia leo tusiamini speed ya chochote iwe pikipiki, gari, treni, ndege au kombora! We unatumia criteria zipi kujua kwamba speedo iliyoandikwa kwenye chombo flan kweli kinaweza kui achieve ama lahKwa akili ako inafika 240🤔🤔
Ndo yale yale unakuta toyo ya cc150 imewekwa speedo za 180km/h unaaza jisifu na kuisifu piki piki kwamba ina speed sana ila jamaa kaishia 100 tu😁😁 na kuizarau honda xl kisa speedo yake labda mwsho ni 160 au 140😁...
Hiyo imesimama balaa. Sema bei yake imesimama pia. Wameamua kupambana na Wajerumani kwa Vitz heheheeMzee, hio vitz new model matata sana. Yaris na vitz ndio hao hao, toyota wahuni tu 😀
Watakaomiliki hio hapa bongo watajidai sana. Tezza na subaru hazifui dafu apo na zitapata aibu kubwa sana. 268HP kwenye baby walker si mchezo kabisa. Halafu cylinder tatu tu.
Mkuu Eminentia kwa nini VW waongope kuwa hizo Golf zina speedmeter za 280, 300 kama madai yako ni kweli je taasisi zinazodeal na issue za viwango especially calibration za speedometer zimelala usingizi mpaka wanunuzi waibiwe mchana kweupee? je mitsubishi lancer evo x yenye speedometer ya 300 nao wamedanganya? au kwa kuwa hawa ni wajapani basi wao huwa siyo waongo? yaani mjerumani anashindwa kutengeneza gari zenye kasi ya zaidi ya 180, mfano gari zenye uwezo wa 280, 300?
hapo sasa yaani mjapani katengeneza vitz 180 km hiyo inafika 180 katengeneza corolla za 240 hizo nazo zinafika 240 ila mjerumani kutengeneza vw polo za 280, 300 imekuwa nongwa anaitwa muongoKama kawaida Jf na ma engineer vijiwe. Yaani mjerumani gari yake speedo ionyeshe 240 wakati ki uhalisia haifiki? So kuanzia leo tusiamini speed ya chochote iwe pikipiki, gari, treni, ndege au kombora! We unatumia criteria zipi kujua kwamba speedo iliyoandikwa kwenye chombo flan kweli kinaweza kui achieve ama lah
pamoja sana mkuu kuna corolla altis nazo zina 240 k/h na unakanyaga vizuri kabisa na kufika 240 kutegemea na ujasiri wa driver na hali ya road hivyo kama toyota wanazo sedan za 240 k/h au pengine zaidi na hiyo speed inafikika why kampuni mnyamaa VW adanganye golf kuwa na 280 km/hr 300km/hr
Punguza kelele kijana, Mjapan hana gari yoyote ya maana..Kuna Mazda Rx 7 au Rx 8 hii ni gari ya mjapani.Ukiwa nyuma yake usithubutu kuifata utakuja kuwatukana hao wajerumani kila tusi.
Hapo Tunduma upande wa Nakonde kuna mzambia kawagaragaza sana wakina Audi Rs,BMW M3/M5.
sehem iliyopita 109 LC aipiti na kama itapita itapata tabu sanaDereva wa Cruiser ndio alikalisha gari.
Ila L/Cruiser ingepita alipopita 109.
Mkuu Skoda kwanza haijawahi kushinda WRC. Kwenye ERC wacha ziwe nyingi sababu zipo nyumbani kwao ulaya.Punguza kelele kijana, Mjapan hana gari yoyote ya maana..
Angalia WRC au ERC huko gari zinazotamba kwenye mashindano ni mashine za kijerumani.. Hapa Africa Skoda inakimbiza sana Subaru na Mitsubishi wake.. Yule Mkenya anayemiliki skoda anazichapa sana hizo takataka za Mjapan
Mkenya unayemuongelea ni Manvir Brayan anatumia Skoda ya mjerumani, alisumbua sana mwanzo ila baaadae wakenya nao Team Kabras na Carl Tundo wakaleta Ford Fiesta wakawa wanakula nae sahani moja.Punguza kelele kijana, Mjapan hana gari yoyote ya maana..
Angalia WRC au ERC huko gari zinazotamba kwenye mashindano ni mashine za kijerumani.. Hapa Africa Skoda inakimbiza sana Subaru na Mitsubishi wake.. Yule Mkenya anayemiliki skoda anazichapa sana hizo takataka za Mjapan
ARC Skoda anawafanyaje Wajapan?? Alafu WRC Audi ana mpinzani??Mkuu Skoda kwanza haijawahi kushinda WRC. Kwenye ERC wacha ziwe nyingi sababu zipo nyumbani kwao ulaya.
Ukweli ni Japanese wapo vizuri Toyota Celica GT,Subaru,Evo wamewahi kubeba WRC.
Hao wazungu unaowakubali wenyewe wanamheshimu mjapani.Ndio maana Ford Fiesta na Proto wao huko Ulaya saizi wanatengeneza Body Shell za Rally Car na injini wanaweka ya mjapani Mitsubishi Evolution 10.
Kabras ana Skoda nae sio Ford.. Ila Manveer alibeba ARC miaka miwili mfululizo..Mkenya unayemuongelea ni Manvir Brayan anatumia Skoda ya mjerumani, alisumbua sana mwanzo ila baaadae wakenya nao Team Kabras na Carl Tundo wakaleta Ford Fiesta wakawa wanakula nae sahani moja.
Alivyokuja Tanzania alishinda kirahisi na pia Zambia.
Bahati mbaya gari yake ilipata ajali ila alitoka salama mwaka Jana.
Kabras Team wana collection ya gari nyingi za rally wana Evo 10,Skoda,Volkswagen,Ford Fiesta na Porsche 911.Kabras ana Skoda nae sio Ford.. Ila Manveer alibeba ARC miaka miwili mfululizo..
European Rally Championship (ERC) Skoda anafanya vizuri ila anapata upinzani mkubwa kwa Hyundai i20,Honda Civic, Ford Fiesta zenye Evo 10 mjapani na wakina Citroen.ARC Skoda anawafanyaje Wajapan?? Alafu WRC Audi ana mpinzani??
Skoda mpinzani wake mkuu ni Ford Fiesta na ndugu yake Vw R5 kwenye ERC.ARC Skoda anawafanyaje Wajapan?? Alafu WRC Audi ana mpinzani??
Sijaiona, ngoja nitaitafuta niipitie..European Rally Championship (ERC) Skoda anafanya vizuri ila anapata upinzani mkubwa kwa Hyundai i20,Honda Civic, Ford Fiesta zenye Evo 10 mjapani na wakina Citroen.
Umeona moto aliuwasha Toyota Yaris GR kwenye testing Norway. Kwenye Rally zijazo mjapani ataendelea kusumbua hao wakina Skoda.
HahahahahaNchi hii ni ngumu sana, nahisi UGALI umeharibu sana akili za wengi
Kwa maana hiyo Unataka kusema Mitsubishi Evo, Toyota Supra, Nissan GT-R na Kuna Subaru flani hivi nimesahau jina lake....hizi siyo gari za maana...?Punguza kelele kijana, Mjapan hana gari yoyote ya maana..
Angalia WRC au ERC huko gari zinazotamba kwenye mashindano ni mashine za kijerumani.. Hapa Africa Skoda inakimbiza sana Subaru na Mitsubishi wake.. Yule Mkenya anayemiliki skoda anazichapa sana hizo takataka za Mjapan
Mzee umesharudi tanga?Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.
Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.