Naona watu wanazungumzia kuhusu supra umu.
Kwanza kabisa, Supra yenye 2jzge ina 220hp tu na yenye 2jzgte ina 276hp in stock form, haiwezi kupambana na gari kama lambo, ferrari, porsche.
Ila sasa, hizo engine tajwa hapo juu, they have a very high potential power output and are built for power. 2jz, 1jz na rb26 ni engine ambazo zimetengezwa kipindi cha makubaliano baina ya kampuni za kijapan kutengeza engine with limited HP.
Hizi engine hazikutendewa haki na makampuni yao. Sasa ukija kwenye mikono ya watu walioamua kuzipa haki zao, 2jz engines na rb26 ni hatari sana hao akina lambo na wenzake ni cha mtoto sana.